Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma
CPA Makala?Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma
No reform no electing..uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 umefanyika baada ya marekebisho lakini umerudia dhuluma na udhalimu wa 2019, na 2020.
..kilichojitokeza katika uchaguzi wa mitaa wa 2024 ni uthibitisho kwamba yanahitajika mabadiliko makubwa zaidi ya yale ambayo serikali imeyafanya.
Hata ukiangalia hiyo clip kwa wananchi wanaomsikiliza unawaona kabisa hata sura zao muonekano wao wanamshangaa Makalla anachoongea. Wanajiuliza kwa nini tunadanganywa na sisi tunakubali? Hawana la kufanya masikini afadhali wasinzie. Hata maji ya kunywa hawana. CCM hawana huruma.Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma
Ufanisi walioupata CCM kwenye chaguzi za 2019 na 2020 utawasukuma kutumia mbinu zile zile if nothing changes..uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 umefanyika baada ya marekebisho lakini umerudia dhuluma na udhalimu wa 2019, na 2020.
..kilichojitokeza katika uchaguzi wa mitaa wa 2024 ni uthibitisho kwamba yanahitajika mabadiliko makubwa zaidi ya yale ambayo serikali imeyafanya.
Ndo hapo sasa...uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 umefanyika baada ya marekebisho lakini umerudia dhuluma na udhalimu wa 2019, na 2020.
..kilichojitokeza katika uchaguzi wa mitaa wa 2024 ni uthibitisho kwamba yanahitajika mabadiliko makubwa zaidi ya yale ambayo serikali imeyafanya.
Naam,chupa mpya lakini mvinyo uleule!! Teh tehee teehee"Wakurugenzi hawasimamii uchaguzi bali unasimamiwa na watumishi wa umma" Hahahahahaha
Kwanini CCM mnahangaika na Chadema tuu?Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma
Waropokaji wanazidi kupata shule ya tacticsWameanza kuingia kwenye mfumo taratibuuuuu
Kama yeye na chama chake wanajifanya au hawataki kuelewa kinacho zungumziwa, acha wananchi waelezwe na ndio watakao fanya uamzi.Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma