Pre GE2025 Makalla: Wakurugenzi hawatasimamia Uchaguzi, ahoji hofu ya CHADEMA kuhusu Uchaguzi licha ya marekebisho ya mfumo

Pre GE2025 Makalla: Wakurugenzi hawatasimamia Uchaguzi, ahoji hofu ya CHADEMA kuhusu Uchaguzi licha ya marekebisho ya mfumo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anayepaswa kujibu hoja za Lissu ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo kada wa CCM.
Harafu anasema Maafisa wandamizi wa Umma ndiyo watasimamia uchaguzi?
Wanatofautiana nini na Wakurugenzi wa Halmashauri.
Harafu haoni aibu ya kusema eti nani kasema wataenguliwa?
 
Tume inatakiwa waajiri watumishi wa tume,ambao watakuwa chini ya tume na wasiwe chama chochote cha siasa.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.

Pia, soma
Kala kavimbiwa kazi uongo tuu, maccm bwana hapa hadanganyiki mtu NO REFORMS NO ELECTION
 
Wasalaam
Kama hizi ndo akili za mtu mwenye CPA basi kama taifa tunasafari ndefu sana na tutafika tumechoka. Yaani mtu anaona kabisa hii ni rangi ya blue kisha anawadanganya watu wazima kwamba hii ni nyekundu daah. Mpaka waliohudhuria mkutano wenyewe ukiangalia sura zao wameboreka.
 
Attachments

  • eed57e3a39441f93bef46cc19f333e61_1741111015716.mp4
    15.2 MB
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.

Pia, soma
Issue si wakurugenzi, the issue is: President appointees will obey unlawful orders from Rais au wawakilishi wake mikoani or for that matter vituo vya kupiga kura
 
Hatutaku hili la mkono No reforms no elections maana yake kila mtu ajiandae kurusha shoot kali.
 
Badala yake ni nani atasimamia? Anayesimamia ana tofauti gani na Mkurugenzi?

Nchi ina viongozi wa hovyo hii
Yaani jamaa kama muda wote KALEWA

Mh Rais, kwa heshima na taadhima hebu epuka matapeli na wapambe kama huyu Makala, tudisha MOYO, wewe ni Rais wa wote, ita Wapinzani IKULU ongeeni, fanya marekebisho madogo ya KATIBA kupata tume huru kwa ajili ya uchaguzi huru na wa haki 2025

Mama Tanzania ni mkubwa kuliko CCM, CDM na ACT
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.

Pia, soma
Makala anahoji mashaka ya CDM as if amezaliwa jana au amefika Tanzania leo alfajiri kutokea Visiwa vya FIJI & SAMOA PRINCIPE

Kwani CCM inaona ugumu gani kufanyiwa kazi kwa Mapendekezo ya Wapinzani.
Ipo siku watakuwa wapinzani na watatamani wangefanyiaga kazi mapema
 
Kweli wasomi/watumishi wa Tanzania poor Sana. Ilipaswa ccm ndio iogope kusikia atakayesimamia uchaguzi ni mtumishi lakini badala yake ndio kwanza analilia mtumishi asimamie licha ya madhila yote watumishi wanayopitia kiutumishi
 
..uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 umefanyika baada ya marekebisho lakini umerudia dhuluma na udhalimu wa 2019, na 2020.

..kilichojitokeza katika uchaguzi wa mitaa wa 2024 ni uthibitisho kwamba yanahitajika mabadiliko makubwa zaidi ya yale ambayo serikali imeyafanya.
Kuna walimu walikataa kupindua matokeo huko shinyanga uchaguzi serikali za mitaa 2024,wanatumikia adhabu ya kupelekwa maporini kinyume na utaratibu(bila pesa za uhamisho) ccm ni nyoko
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.

Pia, soma
Reforms zitasaidia vyama vingi sio Chadema tu
 
Vyama shikizi vya CCM si mnavyo? Mtavipa baadhi ya majimbo, na kutangaza kuwa uchaguzi ulikuwa wa kidemokrasia. Achaneni na CHADEMA wale wanajitambua.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.

Pia, soma
Kwanini watu wanauawa wakati wa uchaguzi, vile vile kwanini wakati wa uchaguzi Ndiyo wagombea toka vyama vya vingine mbali na CCM wanakuwa hawajui kusoma na kuandika
 
Back
Top Bottom