Kala kavimbiwa kazi uongo tuu, maccm bwana hapa hadanganyiki mtu NO REFORMS NO ELECTIONKatibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma
Issue si wakurugenzi, the issue is: President appointees will obey unlawful orders from Rais au wawakilishi wake mikoani or for that matter vituo vya kupiga kuraKatibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma
Yaani jamaa kama muda wote KALEWABadala yake ni nani atasimamia? Anayesimamia ana tofauti gani na Mkurugenzi?
Nchi ina viongozi wa hovyo hii
Makala anahoji mashaka ya CDM as if amezaliwa jana au amefika Tanzania leo alfajiri kutokea Visiwa vya FIJI & SAMOA PRINCIPEKatibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma
Kabisa wanatembea na kinyesi makalioni kwa sababu ya ChademaKwanini CCM mnahangaika na Chadema tuu?
Chama kina mbunge mmoja tuu lakini CCM hampati hata muda wa kutawadha!
Kuna walimu walikataa kupindua matokeo huko shinyanga uchaguzi serikali za mitaa 2024,wanatumikia adhabu ya kupelekwa maporini kinyume na utaratibu(bila pesa za uhamisho) ccm ni nyoko..uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 umefanyika baada ya marekebisho lakini umerudia dhuluma na udhalimu wa 2019, na 2020.
..kilichojitokeza katika uchaguzi wa mitaa wa 2024 ni uthibitisho kwamba yanahitajika mabadiliko makubwa zaidi ya yale ambayo serikali imeyafanya.
Reforms zitasaidia vyama vingi sio Chadema tuKatibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma
Kwanini watu wanauawa wakati wa uchaguzi, vile vile kwanini wakati wa uchaguzi Ndiyo wagombea toka vyama vya vingine mbali na CCM wanakuwa hawajui kusoma na kuandikaKatibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho makubwa kwenye mifumo ya uchaguzi.
Pia, soma