PreGE2025 Makalla: Wanaobeza maendeleo ya Dar es salaam hawajui tulikotoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla akizungumza na wakazi wa Temeke Aprili 30.2025 amewashukia wale wote wanaobeza maendeleo ya jiji la Dar es Salaam, kwa kusema kuwa watu hao hawajui historia ya jiji hilo na hatua ya kimaendelea iliyopigwa kuanzia kipindi cha nyuma hadi kufikia sasa
Your browser is not able to display this video.
 
Angalia watu anaowaambia wala hawana furaha wanamshangaa
 
Ana miaka mingapi huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…