Makamanda kadhaa wa HAMAS wajisalimisha kwenye hospitali ya Shifa

ila wavaa kobaz mna shida kichwani
 
Ambalo limeshindwa kuokoa raia wake na linapigana na watu wenye silaha hafifu kwa miaka zaidi ya 75 ila imeshindwa kuwamaliza what a shame
Eti silaha hafifu!! Wewe endelea kukuna nazi hapo kwa wifi yako haya mambo Yako nje ya uwezo wako.
 
AND FROM THE RIVER TO THE SEA PALESTINA WILL NEVER EVER BE FREE.
 
Nini walichofanikiwa kufanya hao diaper force zaid ya kuua watoto na wanawake
Wakati watoto na wanawake wakiuliwa , wanaume wazima wanakuwa wamejificha kwenye mashimo kama fuko

Hamas wanatakiwa wawasaidie maana wao ndio walilianzisha October 7
 
kwann unawapangia muda wa kufanya kaz
Marekan kawafadhili israhell zaidi ya dollar billion 4 hamna cha maana wanachokifanya zaidi ya kulipua makaz ya watu, wamepoteza zaid ya wanajeshi 1000 dhidi ya watu wanaotumia ak47 na rocket ranger
 
Hiki ni kipimo sahihi kabisa kwa mtu anayewachokoza hawa jamaa....

Kama Hitler aliwashindwa, basi hakuna taifa lingine litawasumbua...

Kumbuka kipindi hicho Hitler alikuwa Super Power kwelikweli....
Hitler amewashindwa kawachinjachinja kam mil.6 wameona wasije wakaisha wakawa wanaingia kwenye mataifa ya watu kam wakimbizi
 
Watumwa mna vituko
 
Uko zako rufiji na kitecno chako unasema no retreat no surender kenge weeee hata manani hujawahi shika[emoji16]
haina kusanda hii acha wapigane wote mpaka waishe wanagombea pale wote sio kwao the real Jews tupo huku utumwani Tabora tunalimishwa tumbaku acha wamalizane turudi kwenye ardhi ya baba yetu Ibrahimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…