Hacha ulongo. Hakuna Hamas hata mmoja aliyejisalimisha na haitatokea kitu kama hicho.
Kilichotokea hapo Shifa hosipitali ni mwendelezo wa propaganda za jeshi la Israeli. Ikumbukwe hii ni mara ya pili kwa jeshi la Israeli kuivamia hiyo hoipitali kwa madai kuwa hosipitali inatumika na Hamas kama operation center
Mara yakwanza wameivamei hiyo hospital hawakupata ushaidi wa madai yao waliokuwa wanayahubili,.
Ssahivi imewabidi waivamie tena baada ya juzi kati kupigwa na ambush ya kibabe karibu na maeneo ya hiyo hosipitali na kupelekea wanajeshi 17 wa IDF kulambishwa mchanga.
Sasa wameamua kuivamia tena hiyo hosipitali wakiamaini watawakamata makomandoo wa Hamas na kuambulia patupu. Kwa aibu wameamua kukamata raia waliokuwa wamejihifadhi hapo kwa vita na wagonjwa kwa minajiri ya kuwahoji zaidi