Makamanda mnaomnaga Mbowe kushiriki uzinduzi wa JNHPP mnamanisha au mihemko?

Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
4,985
Reaction score
3,493
Sina utaratibu wa kuandika andiko fupi lakini leo naomba nijaribu. Nimeona kwenye mitandao makamanda na wengine wanao amini kua ni wanaharakati wakimnanga Mh.Mbowe kushiriki uzinduzi wa mradi mkubwa wa umeme wa JNHPP. Wengi wanaotoa shaka na tuhuma kua Mh.Mbowe amekosea sana na kuonesha kua ni msaliti wa chama baada ya kushiriki ili tukio la kitaifa.
Sasa makamanda ebu niwaulize.
Ni kamanda yupi ambaye utumii miradi kama barabara au umeme vitu vilivyojengwa na serikali ya CCM?
Ni kamanda yupi ambae amekataa kuitii serikali na sheria zilizotungwa na Bunge la CCM?
Ni kamanda yupi ambae amekana uraia wake kwakua nchi inaongozwa na CCM?
Ni kamanda yupi ambae amekataa ajira kisa serikali iliyopo niya CCM?
Ni kamanda yupi ambae aendi kwenye hospitali zilizojengwa chini ya CCM?
Kama yute hayo unafanya basi hamna cha maana kuendelea kumtusi na kumzodoa Mh.Mbowe.. Tupunze mihemko makamanda.
AKIBAZI-ITAHWA
 
MABADILIKOOO ......KUNJA NGUMI KUNJA NGUMI NIONE....MABADILIKOO....
KAMANDA KUNJA NGUMI......
 
Mbona hoja zako ni za kitoto? Kodi za wananchi ndizo zilizojenga JNHPP, siyo mifuko ya Wana-CCM. Tumeunanga unafiki na ubinafsi wake siyo hayo maendeleo.

Huelewi nini?
Aaah kumbe,sasa anaesimamia hizo kodi ni nani? Mh.Mbowe amekosea nini kushiriki tukio la uzinduzi wa mradi uliotumia kodi za watanzania nae akiwemo? Hivi mnaelewa kweli?
 
Sina utaratibu wa kuandika andiko fupi lakini leo naomba nijaribu. Nimeona kwenye mitandao makamanda na wengine wanao amini kua ni wanaharakati wakimnanga Mh.Mbowe kushiriki uzinduzi wa mradi mkubwa wa umeme wa JNHPP. Wengi wanaotoa shaka na tuhuma kua Mh.Mbowe amekosea sana na kuonesha kua ni msaliti wa chama baada ya kushiriki ili tukio la kitaifa.
Sasa makamanda ebu niwaulize.
Ni kamanda yupi ambaye utumii miradi kama barabara au umeme vitu vilivyojengwa na serikali ya CCM?
Ni kamanda yupi ambae amekataa kuitii serikali na sheria zilizotungwa na Bunge la CCM?
Ni kamanda yupi ambae amekana uraia wake kwakua nchi inaongozwa na CCM?
Ni kamanda yupi ambae amekataa ajira kisa serikali iliyopo niya CCM?
Ni kamanda yupi ambae aendi kwenye hospitali zilizojengwa chini ya CCM?
Kama yute hayo unafanya basi hamna cha maana kuendelea kumtusi na kumzodoa Mh.Mbowe.. Tupunze mihemko makamanda.
AKIBAZI-ITAHWA
Tumia akili kidogo
Hujui anatumiwa kama Public Relations Stunt wakidhani itawaumiza Chadema?
Nani anelalamika Benson Kigaila kuhudhuria?
 
Aaah kumbe,sasa anaesimamia hizo kodi ni nani? Mh.Mbowe amekosea nini kushiriki tukio la uzinduzi wa mradi uliotumia kodi za watanzania nae akiwemo? Hivi mnaelewa kweli?
Naona kamanda kaja mzima mzima ume,tuliza🤣🤣🤣

Ukweli ni kuwa hawa wanaojiita makamanda ni wapuuzi.,.........mihemko na kujifanya wanajua Kila kitu, kumbe ni weupe mno kichwani.
 
Bilionea amekwenda kutazama bwawa la umeme watu wanapiga kelele
 
Why nbowe na sio salimu mwalimu
Kinacho mhukumu mbowe ni imani aliyoijenga kwenye kupigania haki lakini baada ya kukosa kiti anaungana na watesi ambao wanakandamiza haki
 
Hao ni mifugo iliyotawanyika kwa kukosa mchungaji.
 
Why nbowe na sio salimu mwalimu
Kinacho mhukumu mbowe ni imani aliyoijenga kwenye kupigania haki lakini baada ya kukosa kiti anaungana na watesi ambao wanakandamiza haki
Kwahiyo amekosea wapi?Mbona sis makamanda pia tunatumia vitu vilivyojengwa na kusimamiwa na hao CCM?
 
Tumia akili kidogo
Hujui anatumiwa kama Public Relations Stunt wakidhani itawaumiza Chadema?
Nani anelalamika Benson Kigaila kuhudhuria?
Anatumikaje wakati nae nimlipa kodi.Pia sisi makamanda tumekosea kufuatilia huo uzinduzi maana nasi tumeshiriki pia.
 
Siku Mbowe alipopigwa chini na Lissu ndipo upinzani halisi uliporidi. Mbowe alikuwa snitch tu.
 
Hahaha now ndio watanzania Akili zitawakaa sawa Sasa na kuwaelewa wanasiasa wa Tanzania, wanasiasa watanzania wote ni matapeli hakuna ambaye anaye pigania haki za wananchi msijidanganye
 
Back
Top Bottom