Aaah kumbe,sasa anaesimamia hizo kodi ni nani? Mh.Mbowe amekosea nini kushiriki tukio la uzinduzi wa mradi uliotumia kodi za watanzania nae akiwemo? Hivi mnaelewa kweli?Mbona hoja zako ni za kitoto? Kodi za wananchi ndizo zilizojenga JNHPP, siyo mifuko ya Wana-CCM. Tumeunanga unafiki na ubinafsi wake siyo hayo maendeleo.
Huelewi nini?
Tumia akili kidogoSina utaratibu wa kuandika andiko fupi lakini leo naomba nijaribu. Nimeona kwenye mitandao makamanda na wengine wanao amini kua ni wanaharakati wakimnanga Mh.Mbowe kushiriki uzinduzi wa mradi mkubwa wa umeme wa JNHPP. Wengi wanaotoa shaka na tuhuma kua Mh.Mbowe amekosea sana na kuonesha kua ni msaliti wa chama baada ya kushiriki ili tukio la kitaifa.
Sasa makamanda ebu niwaulize.
Ni kamanda yupi ambaye utumii miradi kama barabara au umeme vitu vilivyojengwa na serikali ya CCM?
Ni kamanda yupi ambae amekataa kuitii serikali na sheria zilizotungwa na Bunge la CCM?
Ni kamanda yupi ambae amekana uraia wake kwakua nchi inaongozwa na CCM?
Ni kamanda yupi ambae amekataa ajira kisa serikali iliyopo niya CCM?
Ni kamanda yupi ambae aendi kwenye hospitali zilizojengwa chini ya CCM?
Kama yute hayo unafanya basi hamna cha maana kuendelea kumtusi na kumzodoa Mh.Mbowe.. Tupunze mihemko makamanda.
AKIBAZI-ITAHWA
Naona kamanda kaja mzima mzima ume,tuliza🤣🤣🤣Aaah kumbe,sasa anaesimamia hizo kodi ni nani? Mh.Mbowe amekosea nini kushiriki tukio la uzinduzi wa mradi uliotumia kodi za watanzania nae akiwemo? Hivi mnaelewa kweli?
Kwahiyo amekosea wapi?Mbona sis makamanda pia tunatumia vitu vilivyojengwa na kusimamiwa na hao CCM?Why nbowe na sio salimu mwalimu
Kinacho mhukumu mbowe ni imani aliyoijenga kwenye kupigania haki lakini baada ya kukosa kiti anaungana na watesi ambao wanakandamiza haki
Anatumikaje wakati nae nimlipa kodi.Pia sisi makamanda tumekosea kufuatilia huo uzinduzi maana nasi tumeshiriki pia.Tumia akili kidogo
Hujui anatumiwa kama Public Relations Stunt wakidhani itawaumiza Chadema?
Nani anelalamika Benson Kigaila kuhudhuria?