Makamanda nipokeeni

Makamanda nipokeeni

koze

New Member
Joined
Jul 7, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Katika pitapita zangu nimekutana na usajili wa CDM online by lutayega,
nimevutwa sana na swaga za makamanda wa CDM kupitia JF,
Ujio wangu nadhani itakuwa pigo kwa tume ya katiba na w.malecela
na wapambe wao, ila mi nasema idumu CDM idum JF
 
Back
Top Bottom