BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Itakuwa ni ajabu sana na mbaya sana kushinda humu kuonyesha jinsi Serikali ilivyo mbaya, jinsi kulivyo na ufisadi, utekwaji wa watu na kadhalika ila hatuchangii tonetone kwa CHADEMA.
Katika haya mapambano kama hatuwezi toka front line ni vizuri tukawa tuna wasapoti walio msatari wa mbele wa mapambano haya ya kumuondoa mkoloni mweusi.
Kutoka kuwa wazalendo hadi muwa mafisadi wakubwa sana.
Tuhamasishe ndugu jamaa na marafiki wachangie chochote kile wakicho nacho ili kusapoti hii Movement.
Kuhamasisha na pia sisi wenyewe kuchangia inaweza kuwa msaada tosha kwa Chama.
Tusibakie kusifia mikutano NRNE ya CDM chini ya wakina Heche ilihali hatuchangii chochote kile. Hii ni mbaya sana na ni unafiki ulio tukuka kabisa hata mbele za Mungu.