BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Jamaa wamekula hela zote katika ziara feki
Weka namba tutupiemo…..!!Itakuwa ni ajabu sana na mbaya sana kushinda humu kuonyesha jinsi Serikali ilivyo mbaya, jinsi kulivyo na ufisadi, utekwaji wa watu na kadhalika ila hatuchangii tonetone kwa CDM.
Katika haya mapambano kama hatuwezi toka front line ni vizuri tukawa tuna wasapoti walio msatari wa mbele wa mapambano haya ya kumuondoa mkoloni mweusi.
View attachment 3342460
Kutoka kuwa wazalendo hadi muwa mafisadi wakubwa sana.
Tuhamasishe ndugu jamaa na marafiki wachangie chochote kile wakicho nacho ili kusapoti hii Movement.
Kuhamasisha na pia sisi wenyewe kuchangia inaweza kuwa msaada tosha kwa Chama.
Tusibakie kusifia mikutano NRNE ya CDM chini ya wakina Heche ilihali hatuchangii chochote kile. Hii ni mbaya sana na ni unafiki ulio tukuka kabisa hata mbele za Mungu.
Nashukuru hadi sasa nimechangia zaidi ya 300,000 kwenye tonetone. Na jmos natupia tena 30,000. Tuhakikishe tunaweka chochote chama kiendelee kusimama.Itakuwa ni ajabu sana na mbaya sana kushinda humu kuonyesha jinsi Serikali ilivyo mbaya, jinsi kulivyo na ufisadi, utekwaji wa watu na kadhalika ila hatuchangii tonetone kwa CHADEMA.
Katika haya mapambano kama hatuwezi toka front line ni vizuri tukawa tuna wasapoti walio msatari wa mbele wa mapambano haya ya kumuondoa mkoloni mweusi.
View attachment 3342460
Kutoka kuwa wazalendo hadi muwa mafisadi wakubwa sana.
Tuhamasishe ndugu jamaa na marafiki wachangie chochote kile wakicho nacho ili kusapoti hii Movement.
Kuhamasisha na pia sisi wenyewe kuchangia inaweza kuwa msaada tosha kwa Chama.
Tusibakie kusifia mikutano NRNE ya CDM chini ya wakina Heche ilihali hatuchangii chochote kile. Hii ni mbaya sana na ni unafiki ulio tukuka kabisa hata mbele za Mungu.
0744446969 CDM HQWeka namba tutupiemo…..!!
Ziara ilifana sana. Na tutaweka zaidi. Hutaki jinyonge.Jamaa wamekula hela zote katika ziara feki
Nipe muongozo wa kuchangia, sio mwanasiasa ila nachukia dhulma na uonevu unaofanywa na serikaliItakuwa ni ajabu sana na mbaya sana kushinda humu kuonyesha jinsi Serikali ilivyo mbaya, jinsi kulivyo na ufisadi, utekwaji wa watu na kadhalika ila hatuchangii tonetone kwa CHADEMA.
Katika haya mapambano kama hatuwezi toka front line ni vizuri tukawa tuna wasapoti walio msatari wa mbele wa mapambano haya ya kumuondoa mkoloni mweusi.
View attachment 3342460
Kutoka kuwa wazalendo hadi muwa mafisadi wakubwa sana.
Tuhamasishe ndugu jamaa na marafiki wachangie chochote kile wakicho nacho ili kusapoti hii Movement.
Kuhamasisha na pia sisi wenyewe kuchangia inaweza kuwa msaada tosha kwa Chama.
Tusibakie kusifia mikutano NRNE ya CDM chini ya wakina Heche ilihali hatuchangii chochote kile. Hii ni mbaya sana na ni unafiki ulio tukuka kabisa hata mbele za Mungu.
Hii namba ya mchangoo au sijaewa0744446969 CDM HQ
Ndio namba ya chadema makao mkuu. Kabla ya kutuma litakujia jina.Hii namba ya mchangoo au sijaewa
Nasave nitatuma kupitia wakalaNdio namba ya chadema makao mkuu. Kabla ya kutuma litakujia jina.