luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Tuseme Congo hakuna haki ndo maana vurugu Kila siku ama?Lengo lake ni kuonyesha kwamba bila kusimamia haki, hakutokua na amani
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wapi huko Tena au RwandaUnaiba kura na kupora chaguzi halafu watu wakiingia msituni kudai haki yao unawapelekea kikosi[emoji124][emoji124][emoji124]
Hiyo ni sababu kubwaTuseme Congo hakuna haki ndo maana vurugu Kila siku ama?
Au sio? Karibuni msitu wa Congo karibuni sana sana casket ziwe standby pia, mkizidiwa mtawaita hao wenye manati wawaoneshe how Kings of Jungle do their things.Hii ni JWTZ ikiwa vitani huko DR Congo
View attachment 2254306
Nyie watoto waliwakata mapanga sijui unaniambia nini?Au sio? Karibuni msitu wa Congo karibuni sana sana casket ziwe standby pia, mkizidiwa mtawaita hao wenye manati wawaoneshe how Kings of Jungle do their things.
Hauijui Tz wewe.Nyie watoto waliwakata mapanga sijui unaniambia nini?
Huo ni mtego ambao sidhani kama TPDF itanasa! BTW Jeshi la Uganda linaitwa UPDF yaani Uganda's People's Defence Forces! Kwa sasa hali si nzuri upande wa Magharibi na Kusini mwa Tanzania ndo maana TPDF inajifua kila siku maana wakati wowote kitanuka na msimamo wa Tanzania ni kutoruhusu Wakimbizi kwenye ardhi yake! Wakimbizi wa Cabo Delgado wamezuiwa machafuko ya juzi!..nchi zote za Afrika Mashariki tayari zina askari ndani ya DRC kwa namna moja au nyingine.
..kwa mfano, Tpdf na Kdf ni sehemu ya vikosi vya UN vilivyoko DRC.
..UDF wako ndani ya Congo kufuatilia magaidi wa Uganda waliojificha huko.
..Burundi nayo nimesikia iko Congo nimesahau kwa sababu zipi.
..Rwanda/RDF ni sehemu ya magaidi wa M23 wanaopigana na majeshi ya Congo.
..sasa katika hali hiyo unajiuliza kikosi cha EAC kitafanya jambo gani jipya ambalo askari wao walioko DRC sasa hivi wameshindwa kufanya?
cc Geza Ulole, MK254
Huo ni mtego ambao sidhani kama TPDF itanasa! BTW Jeshi la Uganda linaitwa UPDF yaani Uganda's People's Defence Forces!
wanaenda kuchota rasilimali..nchi zote za Afrika Mashariki tayari zina askari ndani ya DRC kwa namna moja au nyingine.
..kwa mfano, Tpdf na Kdf ni sehemu ya vikosi vya UN vilivyoko DRC.
..UPDF wako ndani ya Congo kufuatilia magaidi wa Uganda waliojificha huko.
..Burundi nayo nimesikia iko Congo nimesahau kwa sababu zipi.
..Rwanda/RDF ni sehemu ya magaidi wa M23 wanaopigana na majeshi ya Congo.
..sasa katika hali hiyo unajiuliza kikosi cha EAC kitafanya jambo gani jipya ambalo askari wao walioko DRC sasa hivi wameshindwa kufanya?
cc Geza Ulole, MK254
ila chini ya UN framework na idadi ndogo! Usichanganye na East Africa Standby Forces!..hivi tunavyozungumza kila nchi mwanachama wa EAC ina majeshi ndani ya Congo.
..nchi zote za Afrika Mashariki tayari zina askari ndani ya DRC kwa namna moja au nyingine.
..kwa mfano, Tpdf na Kdf ni sehemu ya vikosi vya UN vilivyoko DRC.
..UPDF wako ndani ya Congo kufuatilia magaidi wa Uganda waliojificha huko.
..Burundi nayo nimesikia iko Congo nimesahau kwa sababu zipi.
..Rwanda/RDF ni sehemu ya magaidi wa M23 wanaopigana na majeshi ya Congo.
..sasa katika hali hiyo unajiuliza kikosi cha EAC kitafanya jambo gani jipya ambalo askari wao walioko DRC sasa hivi wameshindwa kufanya?
cc Geza Ulole, MK254
Zisome vizuri taarifa za huu uzi utaelewa tu, usichanganye mission za UN na kinachoandaliwa na EAC....
Hawa makamanda wanaendelea kuratibu issues
..Tanzania na Kenya tuko kwenye UN mission.
..Uganda, na Burundi, wana askari wanaopambana na makundi ya waasi.
..Rwanda wako pamoja na magaidi wa m23.
..Nadhani kupeleka majeshi ya EAC ni kuongeza ukubwa wa matatizo ya kiusalama ya DRC.
DRC ameingia kwenye EAC, hivyo imebidi kero zake zichukuliwe na jumuia na kufanyiwa kazi, it'll nolonger be business as usual.
..rwanda wanataka ku-annex sehemu ya Drc.
..uganda wanataka ku-exploit resources za Drc.
..wote wawili wana-,host na ku-finance rebel groups zilizoko Drc.
..and they have been doing that for a very long time since mid 90s.
..Ili Congo iwe na amani ni lazima kukabiliana kijeshi na Rwanda na Uganda jambo ambalo haliwezekani kwa kupitia EAC.
Haya yote yanafahamika, all behind the scene dyamics, kuna high level geopolitical stuff taking place to ensure DRC issues are sorted once and for all.