Makamanda wa EAC wajadili kikosi kitakachotumwa DRC

Kenyan's leaders msha prove failure

Uhuru aliitisha mkutano Nairobi akaitaa woteee wadau wa amani Drc akasahau kumuita Kagame hapo alikuwa ana ogopa ata mkwaza thennurafik wao utaingia doa na kagame ata kasirika na kusitisha biashara na kenya...

Sasa hapo huwezi kisaidia kuleta amani DRC, alipaswa ahakikishe PK anashiriki ktk ule mkutano how come unamuita Pres wa Burundi qhile tunajua mpaka wa Burundi na DRc umetulia ? Then mnashauri Burundi iitishe peace talk na waasi then mnashindwa kumwambia Pk na yy aitishe peace talk na waasi wake ... Huku ni kutwanga maji ktk kinu
 
Huko tuende na wadogo zetu KDF tu, tutatosha.

Kuna jambo tukawafunze tukiendelea na OP.

Uganda,Rwanda,Burundi sishauri kuwapo, wataaribu tu huko.

South Sudan, wakomae na kwao kwanza.
 
..nchi zote za Afrika Mashariki tayari zina askari ndani ya DRC kwa namna moja au nyingine.

..kwa mfano, Tpdf na Kdf ni sehemu ya vikosi vya UN vilivyoko DRC.

..UPDF wako ndani ya Congo kufuatilia magaidi wa Uganda waliojificha huko.

..Burundi nayo nimesikia iko Congo nimesahau kwa sababu zipi.

..Rwanda/RDF ni sehemu ya magaidi wa M23 wanaopigana na majeshi ya Congo.

..sasa katika hali hiyo unajiuliza kikosi cha EAC kitafanya jambo gani jipya ambalo askari wao walioko DRC sasa hivi wameshindwa kufanya?

cc Geza Ulole, MK254
 
..UDF wako ndani ya Congo kufuatilia magaidi wa Uganda waliojificha huko.

..Burundi nayo nimesikia iko Congo nimesahau kwa sababu zipi.

..Rwanda/RDF ni sehemu ya magaidi wa M23 wanaopigana na majeshi ya Congo.

..sasa katika hali hiyo unajiuliza kikosi cha EAC kitafanya jambo gani jipya ambalo askari wao walioko DRC sasa hivi wameshindwa kufanya?

cc Geza Ulole, MK254
Huo ni mtego ambao sidhani kama TPDF itanasa! BTW Jeshi la Uganda linaitwa UPDF yaani Uganda's People's Defence Forces! Kwa sasa hali si nzuri upande wa Magharibi na Kusini mwa Tanzania ndo maana TPDF inajifua kila siku maana wakati wowote kitanuka na msimamo wa Tanzania ni kutoruhusu Wakimbizi kwenye ardhi yake! Wakimbizi wa Cabo Delgado wamezuiwa machafuko ya juzi!
 
Huo ni mtego ambao sidhani kama TPDF itanasa! BTW Jeshi la Uganda linaitwa UPDF yaani Uganda's People's Defence Forces!

..hivi tunavyozungumza kila nchi mwanachama wa EAC ina majeshi ndani ya Congo.
 
..nchi zote za Afrika Mashariki tayari zina askari ndani ya DRC kwa namna moja au nyingine.

..kwa mfano, Tpdf na Kdf ni sehemu ya vikosi vya UN vilivyoko DRC.

..UPDF wako ndani ya Congo kufuatilia magaidi wa Uganda waliojificha huko.

..Burundi nayo nimesikia iko Congo nimesahau kwa sababu zipi.

..Rwanda/RDF ni sehemu ya magaidi wa M23 wanaopigana na majeshi ya Congo.

..sasa katika hali hiyo unajiuliza kikosi cha EAC kitafanya jambo gani jipya ambalo askari wao walioko DRC sasa hivi wameshindwa kufanya?

cc Geza Ulole, MK254
wanaenda kuchota rasilimali
 
Zisome vizuri taarifa za huu uzi utaelewa tu, usichanganye mission za UN na kinachoandaliwa na EAC....
Hawa makamanda wanaendelea kuratibu issues

img-20220622-wa0004-jpg.2272570
 
..Tanzania na Kenya tuko kwenye UN mission.

..Uganda, na Burundi, wana askari wanaopambana na makundi ya waasi.

..Rwanda wako pamoja na magaidi wa m23.

..Nadhani kupeleka majeshi ya EAC ni kuongeza ukubwa wa matatizo ya kiusalama ya DRC.
 
DRC ameingia kwenye EAC, hivyo imebidi kero zake zichukuliwe na jumuia na kufanyiwa kazi, it'll nolonger be business as usual.
 
..rwanda wanataka ku-annex sehemu ya Drc.

..uganda wanataka ku-exploit resources za Drc.

..wote wawili wana-,host na ku-finance rebel groups zilizoko Drc.

..and they have been doing that for a very long time since mid 90s.

..Ili Congo iwe na amani ni lazima kukabiliana kijeshi na Rwanda na Uganda jambo ambalo haliwezekani kwa kupitia EAC.
 
Haya yote yanafahamika, all behind the scene dyamics, kuna high level geopolitical stuff taking place to ensure DRC issues are sorted once and for all.
 
..hayo hayawezekani bila kuwafurumusha kijeshi Rwanda na Uganda kitu ambacho EAC haiwezi kufanya.
 
Back
Top Bottom