Hivi,mgambo huwa wana vyeo kama Brigedia Jenerali au Meja Jenerali nk?Hivyo siyo vyeo vya kijeshi?Hamas kujiita/kuitwa mgambo ni kudunishwa au kupata huruma tu?Hii ni taarifa iliyotolewa na IDF
The Director of Hamas Security Operations in the Gaza Strip, Major General Mahmoud Abu Salah as well as his Assistant and the Director of Investigations, Brigadier General Hussam Shahwan were both Eliminated by an Israeli Airstrike last night near Khan Yunis in Southern Gaza.
Hata vibaka huwa wana miungu yao.God bless Palestine
Hawana shida; wanazaliana kama kumbikumbi ndani ya muda mfupi watakuwa wame-triple with majenero wa kutosha.IDF wanawachinja viongozi wa Hamas kimahesabu sana.
Hamas wasipo saini 'sizi faya' mapema, viongozi wote wataisha patabaki na ombwe kubwa sana la kiuongozi.
Maana kila siku ni habari za viongozi tu kuuawa, wataisha sasa!
wanamgambo huwa wanavwanajeshi wenye vyeo?Hii ni taarifa iliyotolewa na IDF
The Director of Hamas Security Operations in the Gaza Strip, Major General Mahmoud Abu Salah as well as his Assistant and the Director of Investigations, Brigadier General Hussam Shahwan were both Eliminated by an Israeli Airstrike last night near Khan Yunis in Southern Gaza.
Hamas ni vikosi vyenye mafunzo ya hali ya juu hadi ukomandoo na vyeo almost vyote vya kijeshi wanavyo.wanamgambo huwa wanavwanajeshi wenye vyeo?
Kwanza kabla ya hilo swali; fikiria aina ya silaha wanazo tumia; sidhani kama nchi za Kiafrica tunazo hizo silaha, baada ya hapo sasa ndio ujiulize, wale ni mgambo kweli au askari wa ukweli ukweliHivi,mgambo huwa wana vyeo kama Brigedia Jenerali au Meja Jenerali nk?Hivyo siyo vyeo vya kijeshi?Hamas kujiita/kuitwa mgambo ni kudunishwa au kupata huruma tu?