Makamba aanza rasmi kuwapigia debe watoto wake ubunge

Makamba aanza rasmi kuwapigia debe watoto wake ubunge

unfortunately i dont know him (January) personally to answer your question but in any case for his dad to stand on his side i dont see anything wrong. Good that you dont have anything against their family but i smell prejudice on ''watoto wa vigogo''

then why are you defending someone you dont know nor what he stands for yet all we know at the moment dad is pulling the strings. This is what some referred as Ufisadi political inheritence. He(January) has nothing to prove of his worthiness as a candiadate because of dad and you support that. Considering the fact you dont know him personally so what are you defending his ideas (which are non existence) or his Fisadi dad trying to Fisadi him all the way to the top.

He should earn the position like the rest and no I have no problem with rich kids who earn their living rightfully. But yes I have a problem with those kids who crop up and thinking Tanzania is the're back yard cow to milk whenever they feel like.
 
then why are you defending someone you dont know nor what he stands for yet all we know at the moment dad is pulling the strings.

I dont believe if i need to know him personally to tell wether his father is doing something wrong to support him on his race to the parliament, whose dad doesnt want the best for his kid? to me the issue shouldnt be Makamba supporting his son rather it should be wether January is capable for the post or not. Unfortunately i dont think if its a crime for January or Ridhiwani to run for any post provided they have what it takes for that post. sorry i dont hate people just because their fathers excellence but the content of their shrewdness.
 
And how are we to learn of his abilities if dad does the hussling part in steering away his opposition?. Its politics people normally are elected from their views and ways forward. What are his?, if none then why do we need a mute politician. Or just because he is a son of one.

Listen Sir, I have no problems with people righteous by birth they didnt ask for it fate gave it to them. But after better life, better schooling they either have the option of going private and make money or prove their abilities to run for public office. But what we have is being installed into offices as if it is right by birth too. This aint right regardless of their education they need to prove of their worthiness of those areas and earn them like their parents did. And not allowing their parents to install them, that is an abuse of power.
 
Damu nzito kuliko majiiii!!!!,tunachoangalia hapa ni uwezo,sasa yeye asidhani kuwa wanawe wana uwezo zaidi ya kuliko waliopo,waanze chini hukooo kwanza sio wanaibuka tuuu!! huo utakuwa ni ufisadi.
 
A lesson from history: you can create a dynasty but dynasties eventually crumble.
 
For your information, January doesnt need his dad's back on this, he can easily grab the constituency with his own influence. I think mzee Makamba is just being a parent, something that everyone would have done. Do you have anything against tyhis family?

is Burn=January????? Mbona inaonyesha inakuuma sana, kuwa muwazi mwenzio zitto anajulikana humu ndani na huwa tunampa heshima yake.

Be ur self men!
 
is Burn=January????? Mbona inaonyesha inakuuma sana, kuwa muwazi mwenzio zitto anajulikana humu ndani na huwa tunampa heshima yake.

Be ur self men!

No sire, mimi si January. Lakini sidhani kama hiyo inanizuia kufikiri. Hii ni common sense tu, Januari akigombea baba yake atamuunga mkono na kwa kufanya hivyo si kosa labda ikiwa zitatumika njia chafu. Nasisitiza hoja isiwe mzee makamba kumpigia debe mtoto wake bali hoja ni uwezo wa mtoto wake. Nataka mtu ahoji uwezo wa Januari kushika nafasi ubunge na si kuanza kupiga mayowe kisa eti ni mtoto wa makamba, jamani sio kosa kuwa mtoto wa makamba na wala yeye hakuchagua kuwa mtoto wa makamba.
 
" Nataka mtu ahoji uwezo wa Januari kushika nafasi ubunge na si kuanza kupiga mayowe kisa eti ni mtoto wa makamba, jamani sio kosa kuwa mtoto wa makamba na wala yeye hakuchagua kuwa mtoto wa makamba."

Naona unamtetea sana huyu JAnuari, tunaomba utupe CV zake, maana wewe unataka mtu ahojiuwezo wake wa kushika nafasi ya ubunge.
 
Hii tabia ya kurithishana mdaraka ndo inayotufaya tuwe na watu wasio na qualification katika nafasi wanazowekwa. Nakumbuka kipindi cha nyumba, Nyerere alikataa mtoto wake asipewa/asichaguliwe kuwa kiongozi kwani alimfahamu vizuri mwanaye,Sasa hii mijutu mingine eti kwa sababu ina nafasi na sauti, basi wanawaweka watu wanao wataka ilimradi ni ndugu/watoto wao bila kujali uwezo wa huyo mtu. Hii ni kulindana tu, amna la zaidi.
 
Naona unamtetea sana huyu JAnuari, tunaomba utupe CV zake, maana wewe unataka mtu ahojiuwezo wake wa kushika nafasi ya ubunge.

He is policy advisor, president office. He went to CSB/SJU.
 
Hii tabia ya kurithishana mdaraka ndo inayotufaya tuwe na watu wasio na qualification katika nafasi wanazowekwa. Nakumbuka kipindi cha nyumba, Nyerere alikataa mtoto wake asipewa/asichaguliwe kuwa kiongozi kwani alimfahamu vizuri mwanaye,Sasa hii mijutu mingine eti kwa sababu ina nafasi na sauti, basi wanawaweka watu wanao wataka ilimradi ni ndugu/watoto wao bila kujali uwezo wa huyo mtu. Hii ni kulindana tu, amna la zaidi.
yan ni tabia ya yao CCM
 
He is policy advisor, president office. He went to CSB/SJU.

Unamaanisha uliyo yaandika yanaweza Ku support hoja yako na kwashawishi wana JF wote wakubalianae nayo?
Hivi wamekuaidi hao watoto waku wakipa hizo nafasi utapewa nini maana naona unakumalia kweli. Wewe ni shemeji au ni wakwe zako nini?
 
4. SABABU ZA KUPINGA UFISADI WA TAALUMA.
Katika zama hizi, kila kitu kinaenda kisomi, usomi au taaluma inatumika au inamgusa kila Mtanzania katika maisha ya kila siku popote alipo.
Kwa ufupi, Kama ni mwanafunzi wa shule ya msingi au sekondari anastahili kufundishwa na mwalimu aliyefuzu ualimu. Ili mwanafunzi aitimu akiwa na maarifa ni lazima afundishwe na mtu ambaye akugushi cheti cha ualimu vinginevyo mwanafunzi atamaliza darasa la saba akiwa hajui kusoma wala kuandika
Mgonjwa ili apate tiba inayoendana na maradhi yake anastahili tabibu aliye fuzu mafunzo ya utabibu au udaktari. Kama daktari amegushi vyeti kuna uwezekano wa mgonjwa kumfanyiwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu na mguu badala ya kichwa.
Kama mhasibu amegushi cheti kunaowezekano wa mhasibu huyo kukosea hesabu na kuliingizia taifa hasara ya mabilioni ya fedha.
Mhandisi au msanifu wa majengo kama amegushi cheti kuna uwezekano mkubwa kufanya ukandarasi na kujenga jengo likaangukia waliomo ndani wapita njia.
Vivyo hivyo mwanasheria aliyegushi cheti na kulitumikia taifa kama Mheshimiwa Hakimu au Jaji kuna uwezeko wa hakimu au Jaji huyu kukosea sheria kwa sababu ana uwelewa kidogo kuhusu sheria hizo ; hivyo haki za watu kupotea na baadaye mtuhumiwa kufungwa bila hatia au jambazi kuachiwa huru kutokana na kugushi wa vyeti aliofanya Mheshimiwa Hakimu husika.
Hivyo , kwa mifano hiyo michache sana, sisi Watanzania tuna haki na sababu ya kupinga ufisadi wa taaluma kwa nguvu zote kwa ajili ya sisi wenye na uzao wetu ujao.

Katika Toleo hili la kwanza mafisadi wa taaluma ni kama ifatavyo.
 
anajulikana kwa porojo za kitoto..............kawachoka mafisadi anaanza kuwapigia watoto wake,wenye akili timamu na wanatanga wenye akili timamu hawatawachagua watoto wa makamba kwani wanajua watakuwa wanachagua mfumo uleule wa kifisadi.......watoto wa makamba ni makuwadi
 
Hii tabia ya kurithishana mdaraka ndo inayotufaya tuwe na watu wasio na qualification katika nafasi wanazowekwa. Nakumbuka kipindi cha nyumba, Nyerere alikataa mtoto wake asipewa/asichaguliwe kuwa kiongozi kwani alimfahamu vizuri mwanaye,Sasa hii mijutu mingine eti kwa sababu ina nafasi na sauti, basi wanawaweka watu wanao wataka ilimradi ni ndugu/watoto wao bila kujali uwezo wa huyo mtu. Hii ni kulindana tu, amna la zaidi.

Baba yake Nyerere alikuwa chief, hiyo inapaswa kukuambia mfano wa nyerere haufai kwenye hoja yako. Kuwa mtot wa fulani katika nchi kama zetu kuna kupa nafasi ya kupata baadhi ya advantage amabazo wengine hawana, tukirejea mfano wako wa Nyerere yeye kuwa mtoto wa chief kulimuwezesha kupata elimu yake pale Tabora School amabpo kwa wakati huo elimu iliyotolewa ililenga kujenga tabaka fulani la viongozi, ndivyo ilivyo kwa January, kuwa mtoto wa Makamba kumemuwezesha kupata elimu nzuri na exposure vitu muhimu kwa uongozi kwa dunia ya sasa.
 
anajulikana kwa porojo za kitoto..............kawachoka mafisadi anaanza kuwapigia watoto wake,wenye akili timamu na wanatanga wenye akili timamu hawatawachagua watoto wa makamba kwani wanajua watakuwa wanachagua mfumo uleule wa kifisadi.......watoto wa makamba ni makuwadi
mm huwa linaniuma sana kwa watu kama hawa mtoto hajui lolote utamkuta kitengo nyeti tuachen jaman ss tunajua tabu tuwaonyeshen kaz
 
anajulikana kwa porojo za kitoto..............kawachoka mafisadi anaanza kuwapigia watoto wake,wenye akili timamu na wanatanga wenye akili timamu hawatawachagua watoto wa makamba kwani wanajua watakuwa wanachagua mfumo uleule wa kifisadi.......watoto wa makamba ni makuwadi

Mjadala huu....!!! Kitu kimoja tu tujue ni kuwa Mtanzania yeyote ana haki ya kugombea nafasi yeyote ya uongozi wa nchi bila kujali baba au mama yake alikuwa nani. Tuwahukumu watu wa uwezo wao na sio kwa kuangalia ni watoto wa nani. Hili tuwe makini nalo sana. Japo napinga kwa nguvu mtu kutumia cheo chake kusafishia njia watoto au ndugu zake, vile vile napinga Januari au Mwamvita kuhukumiwa kwa kuwa tu ni watoto wa Makamba.
Mzee Makamba akae mbali na amwache Januari au Mwamvita waamue hatma yao kisiasa na sisi tuwahukumu kwa uwezo wao.

Hii ya kuwasema kwa kuwa ni watoto wa Makamba tunatenda dhambi kubwa ya ubaguzi (Judge people on the content of their character and not on who fathered them).

Kumbukeni pia huu ni wakati wa kuelekea kampeni na hivyo ni rahisi sana wagombea kutengenezeana stori. Kwa mfano tuna uhakika gani kuwa stori hii haijawa influenced na mmoja wa wagombea huko Bumbuli?
 
Unamaanisha uliyo yaandika yanaweza Ku support hoja yako na kwashawishi wana JF wote wakubalianae nayo?
Hivi wamekuaidi hao watoto waku wakipa hizo nafasi utapewa nini maana naona unakumalia kweli. Wewe ni shemeji au ni wakwe zako nini?

Mkuu kama unataka tuanze kubadilishana maneno machafu ni bora tutafute avenue nyingine na believe me ninaweza kufanya hivyo. Nina uhuru wa kuwa na maoni na si lazima yakupendeze wewe hiyo ndio kauli mbiu yetu hapa..where we dare to talk openly.
 
Back
Top Bottom