Makamba aanza rasmi kuwapigia debe watoto wake ubunge


Thanks Zitto, wewe ni mmoja wa watu wachache wenye kutumikisha bongo zao na si kuendeshwa na hisia na chuki. Nadhani sasa mjadala utafungwa rasmi maana umekwisha fanya kazi yako ya kufikiria kwa niaba ya watu wengine.
 
hata kama ni story ila kwa CCM ni kitu cha kawaidi sana Mfano Mwenyekiti wa UVCCM kwan ni nani? si mtoto wa Mzindakaya! kwani hatujui hilo Zitto?
 
hata kama ni story ila kwa CCM ni kitu cha kawaidi sana Mfano Mwenyekiti wa UVCCM kwan ni nani? si mtoto wa Mzindakaya! kwani hatujui hilo Zitto?

hivi wewe unamjua mwenyekiti wa UVCCM, ni mtoto wa Mzindakaya yupi ?huyo? acha kukurupuka
 
nahisi bunge linatakiwa lipitishe sheria mtu akiwa kiongozi, basi familia yake isiruhusiwe kushiriki katika jambo lolote kuhusiana na siasa, inaweza kusaidia kupata viongozi kutoka ktk familly tofauti
 
Sarkozy's Son Ignites Uproar Over Job

PARIS (Oct. 12) -- He's 23 and has no college degree, and he's angling for a plum job overseeing France's premier business district. Jean Sarkozy, whose papa is the nation's president, is likely to get what he wants.
Outraged critics are crying nepotism and say the brash bid by President Nicolas Sarkozy's son is an affront to France's egalitarian values. Leftists are decrying the prospect of the wealthy "Sarkozy clan" intertwining itself even more intimately with the realm of big business.
Jean Sarkozy's conservative backers insisted Monday that he's qualified to chair EPAD, the quasi-governmental agency that manages the La Defense financial district on the western outskirts of Paris. About 150,000 people commute to work in the sprawling complex of skyscrapers that houses the headquarters of some of Europe's biggest companies.........

More Click hia hia


 

Sipati pich aya unacho kitetea. Nadhani pai nawe ni pandikizi/mridhishwa ndo maana unajitahidi. Tumeshawagudua hawa viongozi, kura zangu hawatazipata mwe.
 
Mkuu kama unataka tuanze kubadilishana maneno machafu ni bora tutafute avenue nyingine na believe me ninaweza kufanya hivyo. Nina uhuru wa kuwa na maoni na si lazima yakupendeze wewe hiyo ndio kauli mbiu yetu hapa..where we dare to talk openly.

Imefika hapo tena, maneno machafu ya nini. Toa hoja kutetea point zako, wewe unafikiri kukwepa kutetea hoja zako kwa kutoa maneno machafu itakusaidia? Ukitoa pumba watu watakucrush tu, lakini ukitoa point zenye kujenga, watu wastakusifia na kukuunga mkono
 
Selfish, washajenga hisia za kujenga himaya za kifalme hao. Kwani hamna kazi nyingine mpaka kila mtoto wa mwanasiasa akimbizwe kwenye siasa.??
 
influence ipi hiyo anayosema maana hata katibu kata wa huko bumbuli hapati
 
influence ipi hiyo anayosema maana hata katibu kata wa huko bumbuli hapati

Mods please take this post where it belong, siriasi mkuu asante kwa kichekesho chako ila naamini hii ingefaa zaidi kwenye forum ya JOKES na inapaswa kuwa joke of the day.
 

The reason why he is not saying anything is because its not quite campaigning time yet. Its illegal for him to say anything at this time. Yo-look, You are cynical regarding this Makamba kid. But do not suggest things that are untrue, what makes you come to a conclusion that he is just a future fisadi? How? U don't know the kid for sure. Come on maan. Stop the mean spirited commentary in here. It is true that he has an advantage since baba yake ni Makamba. That is life, things are not equal. It is what it is. Too bad its not you, but you can not delegitimize somebody's candidacy because of genetical fortune that he is a Makamba. That is not Tanzanian. Wabongo hatuko hivyo bab.
 
makamba hakubaliki hata kidogo mkoani tanga...kule lushoto yeye mwenyewe binafsi alishawahi kugombea mara mbili ubunge na kushindwa....na kutoa kauli za kashfa alipokiosa ubunge akateuliwa kuwa mkuu wa mkoa....hata kijana wake hakubaliki...na wala hajulikani....
 
unfortunately i dont know him (January) personally to answer your question but in any case for his dad to stand on his side i dont see anything wrong. Good that you dont have anything against their family but i smell prejudice on ''watoto wa vigogo''

The issue at stake is not whether someone is against the Makamba family or not but for the old man to use his good CCM office and position to propel his son to a political position is unethical in any society that advocates fairness and good governance. Mzee Makamba aache kwanza ang'atuke ukatibu mkuu wa CCM ndio hapo anaweza kuwapigia debe wanawe ili aanzishe political dynasty ya familia yake!! Huyu kijana January kapata ujiko wa kuwa msaidizi wa mkulu kiainaaina tu na leo ndio anapandikizwakuwa mwanasiasa mahili kuchuana na wakina Shelukindo? Acheni kuwafanya watu wajinga hao watoto wenu mwawapa hata hizo kazi si kwa uwezo bali kwa woga wenu na upendeleo.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…