Makamba aja na kitabu "Cha kale Ni dhahabu"

Makamba aja na kitabu "Cha kale Ni dhahabu"

Ebhanaeeee 🔥🔥🔥🔥🔥 hadi jinsi ya kuchagua mke 😆😆
Akatoa sababu kadhaa ya kwanza uzuri wa sura ya pili dini akasema ukioa mwanamke asiye na maadili ya dini kasema hata watoto wako hawawezi kuwa na maadili mema 😊 so tuoe wanawake wanye kufuata misingi ya dini
 
Hakuna cha maana kwenye hicho kitabu
Mkuu kiagata umekisoma?? au umefanya general assumption... for sure hapa duniani ni kua hakuna mtu mjinga kiasi usijifunze chochote kutoka kwake
vitabu hutusaidia kujifunza na kuto kurudia makosa yasiyo na ulazima period
 
Back
Top Bottom