Makamba ajisafisha Tabata

Makamba ajisafisha Tabata

Injinia

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
849
Reaction score
28
Makamba baada ya kuchemsha ndio sasa anagundua kumbe Tabata issue ni ya kijamii na si siasa, karudi ofisini kaagiza mahindi, maharagwe na tank la maji vipelekwe Tbt!
How cheap!
 
Haya makaburi yanafufuliwa kila upande ..halafu yote ni ya Pwani ya kiwengwa
JamiiForums-960510016.jpg
 
Dunia ya sasa huwezi kuficha wala kujificha..
Watu wanafukua makaburi hatari
 
Back
Top Bottom