Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
''TV ya CCM'' TBCNi kweli kuwa Dr. Slaa ni tishio, lakini mbona hii habari inaonekana kama haijakamilika? Haisemi Makamba alikiri hivyo lini, wapi na ilikuwaje hadi akakiri. Hebu tupe habari kamili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
''TV ya CCM'' TBCNi kweli kuwa Dr. Slaa ni tishio, lakini mbona hii habari inaonekana kama haijakamilika? Haisemi Makamba alikiri hivyo lini, wapi na ilikuwaje hadi akakiri. Hebu tupe habari kamili.
Tatizo ni kwamba Watanzania wengi hawatafikiria hivyo! wewe umetumia shule mkuu wangu kuchambua pumba hizi lakini kwa Wadanganyika itakuwa Lipumba ni mbora kuliko Dr.Slaa ili kuzigawa kura za Upinzani..Hongera sana Makamba, kwenye ukweli uwongo hujitenga. Watanzania wekeni kumbukumbu ya maneno ya makamba. Dr Slaa na Chadema yatumieni kwa faida. Makamba amekiri kwa kinywa chake kwamba Dr. Slaa ni tishio kwa Kikwete. Dr Slaa yuko juu kuliko Kikwete, ni kama anga ilivyo juu kuliko nchi kavu. Makamba alishawahi kusema kuwa Kikwete ni maarufu kuliko CCM. Kwa kuwa Kikwete ni maarufu kuliko CCM, Makamba anakiri kuwa Dr. Slaa yupo juu kuliko Kikwete na CCM. Kwa hiyo Dr. Slaa ni tishio kwa Kikwete na CCM yote kwa sababu Kikwete ni maarufu kuliko CCM.
because of too much ilimu than elimu in his mindInawezekana Makamba alitamka maneno hayo "DR.Slaa ni tishio kwa Kikwete" bila kujijua; si unajua tena mgosi mara nyingi anajisahau na analopoka lopoka hovyo!!
huyo mtu binafsi anayetishiwa na slaa ni nani?
Jana niliona TBC walimpa airtime ya kutosha kumwaga upupu wake, kama hawamhofii kelele za nini?
Tatizo ni kwamba Watanzania wengi hawatafikiria hivyo! wewe umetumia shule mkuu wangu kuchambua pumba hizi lakini kwa Wadanganyika itakuwa Lipumba ni mbora kuliko Dr.Slaa ili kuzigawa kura za Upinzani..
CCM wenyewe hawana taabu na kura zao hata kidogo ndio maana umeona wasomi kina Mtanzania wanagombea ubunge kwa tiketi ya CCM pamoja na mabaya yote wanayoyazungumza humu. Tena wapo wengi ajabu wananchma wa JF wamejiandikisha kugombea Udiwani na Ubunge kwa tiketi ya CCM..
kwa nini anakuwa subject kama hawamuhofii!!?
MAKAMBA = CHEMICAL ALI a.k.a vuvuzela
Sasa wewe unamtisha ama? Ni vema kutoa maoni yako juu ya ukweli. Kuna wanaJF kadhaa wameingia ulingoni kugombea nafasi za ubunge na udiwani kwa tiketi ya CCM. Zaidi kuna mmoja anamalizia mikutano yake ya kutafuta wadhamini katika kugombea urais kwa tiketi ya chama chingine.Mkandara;
Mkuu haya umeyatoa wapi? ni yupi mwanaJF uliyemwona anagombea ubunge CCM? Sidhani kama hii lugha ni njema katika jamvi hili hata kidogo, na kama wapo wewe waache kwani sisi hatuishi kwa hisia, bali tunaongozwa na mitima ya mioyo yetu
Mkandara;tia akili ndugu yangu hiki ni kipindi cha kutafakari sana, kujitenga na wale wote wasaliti wa Taifa letu.
Sasa wewe unamtisha ama? Ni vema kutoa maoni yako juu ya ukweli. Kuna wanaJF kadhaa wameingia ulingoni kugombea nafasi za ubunge na udiwani kwa tiketi ya CCM. Zaidi kuna mmoja anamalizia mikutano yake ya kutafuta wadhamini katika kugombea urais kwa tiketi ya chama chingine.
Mkandara;

Mkuu Bulesi, hebu msome huyo Isaya, yaani yeye ameshindwa kabisa kujua kwamba kuna baadhi ya wanaJF wapo kwenye kutafuta nafasi za uwakilishi. Yeye JF kwake ni huo moto na mabua na magugu mengine katika kugombea urais na ubunge,Kibunango mbona unasema zaidi kuna mmoja anamalizia mikutano ya kutafuta wadhamini katika kugombea urais? Mimi niliambiwa kuwa Ridhwani huwa anatembelea humu jf na kama ni hivyo basi Jk pia anatembelea kwani hawa ni wamoja; hivyo basi tutakuwa na wagombea urais wawili kama sio watatu kutoka janvini!! Not to mention that you Kibunango and Malaria are Muungwana's listening posts hapa janvini!
Makamba siyo mtu wa kumnukuu kwa vile amejaa wivu na chuki,yeye tangu azaliwe hajawahi kupata nafasi yoyote kwa kuchaguliwa na watu , yeye siku zote amekuwa akipata nafasi za kuteuliwa na wakubwa kwa vile ni bingwa wa kuwalamba miguu wakubwa, hivyo akiona mtu anayependwa na watu roho inamuuma sana. Hivi kumlinganisha Makamba na Dr Slaa ni sawa na kulinganisha panya buku na tembo,YM yuko chini saaaana, ndiyo maana matamshi yake ni ya kijiweni tu.
Duh! Hii ya Slaa kuwa sawa na moto wa mabua inavutia!
Kalinganisha vema kabisa...Moto wa mabua ni very efficient....haraka na kazi kubwa kwa mda mdogo...ndivyo JK atakvyong'olewa haraka na kwa uifanisi mkubwa....
Hivi Makamba na akili kweli? Anlinganisha Mrema na Dr. Slaa! Hivi kweli hawa IQ zao zinaweza linganishwa ? Mrema ilikuwa misifa na njaa iliyomtuma lakini Dr. Slaa yy ni uzalendo na mapenzi mema kwa nchi ndio vinamsukuma.