Elimu,elimu na elimu.Hivi ni lazima mtu aanzishe mada?.Unampa ultimatum waziri na hoja yako ni daraja la Busisi lingekuwa tayari.Kipi kwenye maelezo ya waziri Makamba hujaelewa?Ukisikiiza hii video hasa hizo figure zinatajwa hapo utagundua J Makamba anahitaji atupe maelezo ya kueleweka kuhusu UMEME.
Lakini pia utagundua Hayati JPM tunamuonea sana, nimewaza tu hapa kidogo nikaona kwa kasi aliyokuwa nayo Hata Daraja la Busisi lingekuwa lilishakamilika.
View attachment 2123111
Punguza hasiraElimu,elimu na elimu.Hivi ni lazima mtu aanzishe mada?.Unampa ultimatum waziri na hoja yako ni daraja la Busisi lingekuwa tayari.Kipi kwenye maelezo ya waziri Makamba hujaelewa?
Mkuu sijaandika kwa hasira.Nashangaa kwamba watu hawafikiri wakati jambo hili liko wazi.Punguza hasira