Makamba anahitaji atupe maelekezo ya kueleweka kuhusu Umeme

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Ukisikiiza hii video hasa hizo figure zinatajwa hapo utagundua J Makamba anahitaji atupe maelezo ya kueleweka kuhusu UMEME.

Lakini pia utagundua Hayati JPM tunamuonea sana, nimewaza tu hapa kidogo nikaona kwa kasi aliyokuwa nayo Hata Daraja la Busisi lingekuwa lilishakamilika.
 
View attachment 2123111
Elimu,elimu na elimu.Hivi ni lazima mtu aanzishe mada?.Unampa ultimatum waziri na hoja yako ni daraja la Busisi lingekuwa tayari.Kipi kwenye maelezo ya waziri Makamba hujaelewa?
 
Kwa taatifa tu, hakuna matengenezo makubwa ya mitambo mikubwa kwa siku 10. Hakuna upanuzi wa visima vya gesi kwa siku 10.

Waliosababisha mgao huu wa siku 10 hawatajwi na waliosaidia kupunguza ukali wa mgao huu pia hawatajwi ingawa walipaswa kusifiwa sana.

Hivi ule mkataba uliokuwa unaisha 2024, jiwe akagoma kuongeza, ushaanza kuzungumziwa?
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Elimu,elimu na elimu.Hivi ni lazima mtu aanzishe mada?.Unampa ultimatum waziri na hoja yako ni daraja la Busisi lingekuwa tayari.Kipi kwenye maelezo ya waziri Makamba hujaelewa?
Punguza hasira
 
Back
Top Bottom