Makamba apewe udaktari wa heshima!

Muasherati hawezi kuwa Dr. mbona unampa heshima kubwa.

labda udaktari bingwa wa kurepu hapo sawa maana nadhani anapenda sana ile kitu chini ya kitovu
 
Kweli una mawazo ya kiungwana. Nani anasema wanawake hawana mawazo mazuri??????? Big up dada yangu Michelle. Nampongeza sana mwanaume aliyebahatika kuwa na wewe......

 
Lakini jaman tuacheni utani. mambo mengine yanachefua sana. Hivi huyu Makamba analitakia nini Taifa hili???
 
Lakini jaman tuacheni utani. mambo mengine yanachefua sana. Hivi huyu Makamba analitakia nini Taifa hili???
Mtu asiye na akili nzuri. Mlafi wa mali zetu. Atakuwa na akili wapi? Bado nakumbuka kile kibwagizo kuwa "Liangalie hili punguani linatafuna mali za umma" nani anakikumbuka?
 
Ni heri kumckiliza ndege akuburudishe kuliko makamba atakukinaisha...
 

Hongera kwa hoja nzito na makini iliyojaa busara na hekima, na mwona mbali hivyo kwa idhini ya Invisible nakutunukia Phd ya heshima ya JF
 

na wewe michelle nakutunuku degree ya udaktari wa heshima toka yusuphu makamba university of kubwabwaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…