Makamba ashindwa kumjibu mama Kilango

- Tatizo la taifa letu ni watu kama Mboma, kuanzia Meremeta, Sukari ya jeshi, Kiwira na Mkapa, ungeanza na huyu kwanza mkuu, halafu utuambie ya Mama Kilango, Super K! au? Aibuuu?!

FMES
 
- Tatizo la taifa letu ni watu kama Mboma, kuanzia Meremeta, Sukari ya jeshi, Kiwira na Mkapa, ungeanza na huyu kwanza mkuu, halafu utuambie ya Mama Kilango, Super K! au? Aibuuu?!

FMES

hao mkuu ni majabali ambayo hata mkuu PINDA alisema ukiwagusa umegusa USALAMA wa nchi na itakuwa hatari moja kwa moja. hivyo kwatai tunawalia mingi pia tunaziba mianya ya wafurukutwa wasio na dira sahihi kufurukutia ktk ngano ya taifa.
Inawezekana nimewakwaza wengi kwa kumshambulia direct mama kilango ila nimetoa mawazo yangu na si ndoto na nipo sahihi kufanya hivyo mkuu. Naomba mkuu kama kuna data sahihi (sio nyemelezi)
 
- JF wamekushitukia mkuu kwamba una tatizo na Mama Kilango, ambaye US wanadhani ni kiongozi bora labda ungeanza na hao US, au?

- Kwako si rahisi sana kuanza na US mkuu?

FMES
 
- JF wamekushitukia mkuu kwamba una tatizo na Mama Kilango, ambaye US wanadhani ni kiongozi bora labda ungeanza na hao US, au?

- Kwako si rahisi sana kuanza na US mkuu?

FMES

hahahaha
mkuu mkononi nina kiwembe, unadhani nitaweza kuukata mbuyu (US)? ninakata kucha (kilango) ambazo ni size ya wembe wangu ili kujikeep safi
 
hahahaha
mkuu mkononi nina kiwembe, unadhani nitaweza kuukata mbuyu (US)? ninakata kucha (kilango) ambazo ni size ya wembe wangu ili kujikeep safi

- Bwa! Ha! ha! ha! Kambona bwanaa kawa raia wa Uingereza Bwa! ha! ha! kiwembe Hillarious!.......!

FMES
 
unajua niliongea kwa hasira sana pale hata data muhimu zikawa zinaniponyoka.
ila ukiondoa hiyo kasoro mengine niliyoyasema yanabaki vilevile kuwa huu ni mtego mwingine mchangani.

This doesn't cut that you are out of touch with reality, acha kuongea bollocks!! Do your homework beforehand!!
 
anne kilango hakuwahi kuwa waziri zama zozote za nchi hii ila Benjamini alimpa ubunge baada ya Anne kumsurubisha Keenja 2000
 
YUOSUF Makamba (TARIK AZIZI)ashindwa kujibu kauli ya mama ANNE KILANGO aliyoitowa hivi karibuni kuhusiana na Mafisadi ndani ya CCM

anna kilango ni mke wa malecela
malecela ni makamu mwenyekiti wa ccm
makamba katibu mkuu wa ccm na mtendaji mkuu wa ccm

makamba kumjibu anna kilango ni sawa sawa na kumuabisha malecela. kweli unadhani makamba anaweza kupambana na malecela.

EL, RA wote wanamuogopa malecela.
anna kilango ataendelea kupiga kelele na kuwatukana provided malecela yuko hai

mafisadi kina makamba, el, ra, hawamuogopi anna kilango bali wanamuogopa malecela......
 
Ujasiri wa mama huyu siyo wa kubeza. Kwa kweli anajitahidi kuzungumza hali halisi ambayo wengine wanaoneana aibu kuizungumza. KEEP IT UP MAMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…