William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
nimekusoma nimekufikia.
Soma post zangu baada ya hiyo acha kupotossha mkuu.
Nimeonesha uungwana kwa kurekebisha kauli na sijaiedit post uliyoitumia kausudi ili kutoa mfano kwa wanasiataPOTO wa nchi hii namna wanavyoweza kujirudi na kuwa wanajamii wema zaidi.
Humu hatunyanyapai mtu ila turekebishana tabia kwa manufaa ya nchi. Si kila aliye against na CCM ni mhaini mkuu. ila hao sisiem wengi wamehaini maslahi ya nchi kwa utashi na matakwa yao binafsi huku wakilindwa na kuenziwa na vyombo vyote vya usalama.
- Tatizo la taifa letu ni watu kama Mboma, kuanzia Meremeta, Sukari ya jeshi, Kiwira na Mkapa, ungeanza na huyu kwanza mkuu, halafu utuambie ya Mama Kilango, Super K! au? Aibuuu?!
FMES