N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 560
Hamna kitu kamjamaa kametumia State House Resources kujijenga huko Bumbuli na kulaghai wananchi kuwa ana baraka za Ikulu kugombea hilo jimbo siku nyingi tu. Na ukweli usiokua na shaka haka kamjamaa si ndio kalituandikia hutoba ya mbayuwayu? :A S-eek: hakuna jipya
as per in red above, sehemu nzuri ya kuleta mabadiliko ya ukwei katika nchi yeyote hasa Tanzania ni Bungeni maana ndiyo watunga sera na sheria zinazoendesha nchi na kwingineko
Naomba unitajie mabadiliko ya ukweli ambayo umewahi kuyasikia Bungeni?
wapo wanaosema Richmond..or bla blah..what is the outcome of RDC?usanii at large..
wengine watakwambia EPA..what is the outcome?Wananchi wanataka maendeleo na siku zote mipango mizuri ya maendeleo inapangwa na watendaji makini ambao wanajua nini cha kufanya.Wabunge kazi ya ni kupitia Bajeti za wizara tu..Tena wanaozisoma kwa umakini ni wachache na wanajulikana..
Lete Hoja kama za mdudu Nyuki
Kama hawa waliopo wameshindwa kutunga sheria huko bungeni ya kubadilisha maisha yetu zaidi ya kuongeza tu maslahi yao, yeye atabadilisha kwa vipi? kwa maneno matamu anayotuambia leo?as per in red above, sehemu nzuri ya kuleta mabadiliko ya ukwei katika nchi yeyote hasa Tanzania ni Bungeni maana ndiyo watunga sera na sheria zinazoendesha nchi na kwingineko
mi nimewasoma watu hapa, sijaamini macho yangu!!
In my own personal opinion this guy is a fraud! Kumuamini na kumkubali eti tu kwa sababu ni kijana ni sawa na doing the same kwa mgombea simply kwa sababu ni kabila lako au dini yako!
Mmemsahau Lau Masha nini?
Ukisema ukweli, watu wataanza kusema ooh! kwa vile hamumjui tu! is very talented.........sawa, talented, sisi tutajuaje kama hatuoni product zake? kama hotuba zote anazotoa Mkwere ni shyt, maana yake muandikaji wake no bogus kabisa!!!Hotuba ya Mbayuwayu wa the worst speech ever..
Sijawahi kuona hotuba nzuri ambayo imetoka magogoni kuanzia 2005,kama ipo naomba mnipe..
as per in red above, sehemu nzuri ya kuleta mabadiliko ya ukwei katika nchi yeyote hasa Tanzania ni Bungeni maana ndiyo watunga sera na sheria zinazoendesha nchi na kwingineko
Nimesukumwa na mambo gani?
1. Kwa muda mrefu, nimekuwa na hamu kubwa sana ya kushiriki mijadala ya msingi inayohusu mustakabali wa nchi yetu, nimekuwa na hamu ya kutoa mawazo yangu binafsi na kuyaweka hadharani, kuyaboresha kupitia mijadala na utafiti, na kuyatumia kubadilisha hali za maisha ya watu wa kwetu. Nimeonelea kwamba nafasi ya Ubunge itanipa fursa hii.
hapa anaelezea ahadi zakeKwakuwa sasa sio wakati wa kampeni, sio vyema kutumia fursa hii kutoa ahadi ambazo zinaweza kutafsiriwa kama sehemu ya kampeni.
ahadi nyingine tenaNitashirikiana na wananchi kuhakikisha tunaongeza tija kwenye kilimo lakini vilevile tunajikita kwenye kuzalisha mazao yenye thamani kubwa zaidi, na kutafuta soko la maana la mazao ya wakulima.
hapa tena,ana lengo la kuhakikisha kuna benki..sijui ametumia vigezo gani?Watu wanashindwa kwenye kupekeka maiti kwa mazishi au kwenye kuhudhuria harusi au maulidi kwasababu barabara muhimu,
hapa tenaKatika jimbo zima la Bumbuli hakuna hata tawi moja la Benki. Inawezekanaje mahali watu wanalima zao kubwa kama chai, wana biashara kubwa za mboga na matunda lakini hawana hata tawi moja la Benki.
Shule za kata piaWatoto wengi hawamalizi shule ya msingi.
afya piaTunapaswa kuongeza shule za Sekondari na hata zile zilizopo zinapaswa kuimarishwa ili kuwa na hadhi na uwezo wa kutoa elimu bora. Katika Jimbo la Bumbuli hatuna shule hata moja ya kidato cha tano na sita. Hili tutalirekebisha.
Yote aliyoyaongea hapo alishindwa kuyafanya kwa kipindi cha miaka mitano akiwa anahudhuria vikao vya NEC,Baraza la Mawaziri,Safari mbalimbali za nje ya nchi kama alivyosema hapaHuduma ya afya na yenyewe bado haijawafikia wananchi wale kwa kiwango cha kuridhisha ingawa jitihada zimefanyika.
anyways Mpeni kura za ndiyo kwa kuwa ni kipenzi chenu na mna mpango wa kunufaika na uongozi wake ila bado hajajenga hoja!Naamini uzoefu wangu kama Msaidizi wa Rais, kwa kuzunguka na Rais nchi nzima mara mbili, wakati anaomba kura na baada ya kuchaguliwa, ambapo nimelazimika kusoma ripoti za maendeleo za Wilaya karibu zote, ambapo, kama Msaidizi wa Rais, nimehudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, pamoja na mikutano mingine mingi ya kimataifa na ndani ya nchi
kwa kishindo cha january ni wakati wa mzee shelukindo kuonyeshaa uwezo wake kwa kujiunga na upinzania ili apambane na kijana huyuu..
Naamini nguvu ya umma ni kubwa kuliko wananchama wa ccm bumbuli kwani natumai kwa sasa kijana huyuu ana mvutoo zaidi plus mizengwee yao..
Mzee shelukindo jifunze kwa dr slaa na onyeshaa njia thabitii..
..he should have announced his candidacy in Bumbuli, not in Dar.
..sounds like a smart kid, sasa tunasubiri tuone kipaji chake ktk mijadala ya bunge.