Elections 2010 Makamba atinga jimboni Bumbuli leo na ufanya vikao vya siri.....

Elections 2010 Makamba atinga jimboni Bumbuli leo na ufanya vikao vya siri.....

Mtu yoyortea anayeamini/anayesema kuwa atatatua matatizo ya watanzania kupitia SIASA ni mnafiki,muongo na anafaa kuogopwa kama ukoma.We all know what the drill is,get in that building earn power/"free ride" anywhere within our nasty republic,aty the end of you useless career we award you with a handsome bonus to help you bribe unaware citizens for another "free ride"...,hence ndio hii mikina shelukindo,malecela etc ambao naamini watafia humo.
Vijana wa kitazanaia mindset zao zinafahamika simple and empty,become rich,drive a "VX",build a multistorey house..,may be two or three,ota kitambi..,zaa vitoto hadi unavisahau..,die before 50 with a heart attack/stroke au marehemu alisumbuliwa na kichwa kwa muda mrefu.
Looking at Tanzanian Youth is like looking at a very disappointing movie,you wish you could get the hell outta there..,well wengi wawezao hujiondokea na kwenda kwa wanao-"think".
Huyu January what what what nimfano wa failure za jamii yetu.just smart enough to outsmart the unaware citizens.
kwa wale wanaopenda kurukia bandwagon hapo juu namaanisah majority sio kila Mtanzania...,mostly in line with 70% ya JK..,+ approx 98% of the remaining 30%.
 
This can be true koz kuna mabayo yameshatokea na kuna ambayo tayari yameshaongelewa kuwa yatatokea......There is no way Chenge anaweza kuwa Spika.....NO WAY.....issue ya rada itamuondoa tu...no matter how they try to delay it.....................
 
Mtu yoyortea anayeamini/anayesema kuwa atatatua matatizo ya watanzania kupitia SIASA ni mnafiki,muongo na anafaa kuogopwa kama ukoma.We all know what the drill is,get in that building earn power/"free ride" anywhere within our nasty republic,aty the end of you useless career we award you with a handsome bonus to help you bribe unaware citizens for another "free ride"...,hence ndio hii mikina shelukindo,malecela etc ambao naamini watafia humo.
Vijana wa kitazanaia mindset zao zinafahamika simple and empty,become rich,drive a "VX",build a multistorey house..,may be two or three,ota kitambi..,zaa vitoto hadi unavisahau..,die before 50 with a heart attack/stroke au marehemu alisumbuliwa na kichwa kwa muda mrefu.
Looking at Tanzanian Youth is like looking at a very disappointing movie,you wish you could get the hell outta there..,well wengi wawezao hujiondokea na kwenda kwa wanao-"think".
Huyu January what what what nimfano wa failure za jamii yetu.just smart enough to outsmart the unaware citizens.
kwa wale wanaopenda kurukia bandwagon hapo juu namaanisah majority sio kila Mtanzania...,mostly in line with 70% ya JK..,+ approx 98% of the remaining 30%.

nikiwa kama kijana wa kitanzania hii post contains strong language that viewers discretions was supposed to be given.... However, nakubaliana na wewe mia kwa mia!!!

Hata hao wenzangu waliorukia siasa, wengi motivation yao si kusaidia wananchi maskini.... IN FACT I DONT SEE ONE WHO HAS PRO-POOR DRIVE IN HIS MINDSET
 
nikiwa kama kijana wa kitanzania hii post contains strong language that viewers discretions was supposed to be given.... However, nakubaliana na wewe mia kwa mia!!!

Hata hao wenzangu waliorukia siasa, wengi motivation yao si kusaidia wananchi maskini.... IN FACT I DONT SEE ONE WHO HAS PRO-POOR DRIVE IN HIS MINDSET

Samehe maandishi yangu chukua ujumbe wangu,hapo nimejizuia kwa kiwango cha juu zaidi,Nimeandika kama Mtanzania ambaye kwa miaka nenda rudi nimekuwa dissapointed na Wazee..,then hawa wazee baada ya kuona hiyo haitoshi wakatuletea watoto wao nao watuboe.

Kwenye issue ya vijana wa kawaida,hawa wanatia huruma kwa kweli.Sikatai Mtu kuwa Tajiri,kwa nchi Masikini Kama Tanzania,Kila kitu utakachokiafanya kuondoa UMASIKINI WA watu kitakufanya uwe TAJIRI wa kutupwa(JUST DO IT WELL).
hawa matajiri wa tanzania kina Bakhresa,Mohd Enterprises Etc,ni mfano wa wachache wanaotumia mianya ya umasikini wa watanzania.Ofcourse wao wamekaa kibiahsara zaidi,siwalaumu kwa hilo.

Kwa wale proffesionlas etc,hakuna sababu ya kuiba/kupokea rushwa kama kweli u-mzuri kwenye unachokifanya.Dunia ya sasa ya utandawazi,brains are hunted from every corner.Talent is appreciated anywhere.

Wanasiasa/wavivu wa kufikiri kuona kuwa kujenga a successfull business/company/dynasty sio kazi rahisi basi wakaamua kuvamia bunge.Every tom,dick and his dog want's to be an MP this days.It's almost insulting.
 
Hawa ndio vijana waliohimizwa wagombee nafasi za uongozi mwaka huu? Well, simjui vizuri as a leader...ingawa sitegemei miujiza yoyote pia
 
Itatuchukua muda kupata serikali safi-lazima hili tulikubali. Nimekuwa nikifuatilia wagombea mabalimbali wanaotangaza nia. Waliowengi ni ndugu wa wale waliopo madarakani lakini mwananchi mwenye nia ya dhati ya kuongoza na kuleta maendeleo hapewi nafasi. Mtoto wa nyoka ni nyo na ni lazima tulikubali hili. Huwezi kutegemea mapinduzi katika maendeleo-kama mtu kaingia madarakani kwa mgongo wa mtu fulani?, Jiulize je anaweza kumuuliza nini yule aliyemuweka madarakani zaidi ya kumuheshimu na kufuata atakachomwambia? Huu ndo ukweli wa mambo na siasa tulizonazo. Hatiwezi kupiga hatua kwa urahisi.

Kwa sasa system zote muhimu zimekaliwa na watoto wa wakubwa, hivyo wanatenda kazi kulingana na ushauri wa wazee wao lkn c kwa upeo wao wa kuamua kipi sahihi na kipi si sahihi kulingana na taaluma zao. Kwa hili roho na uchungu wa nchi yangu unaniumiza kula kukicha. We have the long run for a better change.
 
Rushwa kuisha c rahisi-ila makamba na viongozi wote wa nchi yetu waliojuu, wantumia nafasi mbalimbali kwa ajili yakujinuafisha wao na familia zao-hawana uzalendo.
 
no way nitampigia huyu jamaa kura...He doesn't smell good at all. So what he travelled with the big shot..We need concrete accomplishments man😡.....
 
Mablog mengine pia yametumiwa kuwajenga January na dada yake kuwa wabunge watarajiwa; hasa blog la mjomba misupu!!
 
Mi nakubaliana na Mwanakijiji, huyu mtu anayesema ataleta maendeleo jimboni,tumuulize maendeleo ni kama gunia la dagaa ambalo anadhani wanajimbo lake wameshindwa kulikomboa bandarini!!!
Kwa nchi za wenzetu waliopiga hatua,bunge ndio mahala pa kuanzia. Tena Mwenyezi katupendelea kutupa akina Slaa,japo wapo wachache sana mjengoni lakini impact yao tunaisikia. Ni ngumu kuwaeleimisha wanakijiji kuwa mabadiliko yanaanzia bungeni,ndio maana mafisadi waligundua hilo na wamejazana bungeni,CC,NEC.
Kuna jambo moja ambalo watanzania tunalisahau.Hata tukiamua tuchague viongozi, kuwashinda mafisadi ni kazi ngumu.Na ugumu wake ni kuwa watoa haki kama msajili wa vyama,tume ya uchaguzi na sasa mahakama zote zipo chini ya mamlaka ya mtu mmoja.
Hivi si mliona Kenya, mkuu wa tume ya uchaguzi aliposema hajui nani kashinda na wakati huo huo Jaji mkuu anamwapisha asiyejulikana kama kashinda au la.
Tusisahau katiba,katiba itakayotupa mamlaka ya kuamua hatima ya nchi yetu. Sijui kwanini hatulioni hili.
Tukisubiri mabadiliko yaanzie CC,NEC ni sawa na mbuzi kusubiri hukumu kutoka kwa chui.
 
Pembe Tatu ya Ufisadi Bungeni - Tarishi Hauwawi 07/07/2010


Katika kuperura mitandao, nimeutana na posti kwenye blogu ya "Tarishi Hauwawi" inayosema...

Baada ya kukumbwa na kashfa mbalimbali za ufisadi, kama Richmond, EPA, rada, nk, genge la wanasiasa waovu liliunda an “unholy alliance” ili likusanye nguvu pamoja dhidi ya their common enemies Bungeni.
Genge hilo ambalo vinara wake ni Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge (Pembe Tatu ya Ufisadi Bungeni), liliamua kuwashuhulikia Wabunge kadhaa wanaopinga ufisadi Serikalini.


8320665.jpg
Lengo lao ni kuhakikisha kuwa wabunge wafuatao watatu waliosimamia suala zima la Richmond, hawarudi tena Bungeni baada ya uchaguzi wa 2010 ili waweze kujiandaa kurithishwa nchi na Kikwete 2015 kama walivyokubaliana kwenye mtandao tangu mwaka 2005:


  1. Spika wa Bunge, Sitta Sitta
  2. Harison Mwakyembe
  3. William Shelukindo

January Makamba (36), mmoja wa wasaidizi wa Rais Kikwete Ikulu ambaye pia ni mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba, ndiye aliyepandikizwa na mafisadi wa Richmond ili kumng’oa Shelukindo kwenye kura za maoni Bumbuli. January amepewa war chest (fungu la pesa) kubwa sana na wafanyabiashara mafisadi, akiwemo Yusuf Manji (rafiki wa Makamba), Tanil Somaiya (kuwadi wa rada), Rostam Aziz na wengineo ili kumng’oa Shelukindo Bumbuli.


Waandishi wa habari nao wamenunuliwa ili kumjenga January.

If all fails, PCCB, Tume ya Uchaguzi (NEC), polisi, vyombo vingine vya dola, viongozi wa CCM ngazi ya wilaya, mkoa na taifa, watatumika kuwaengua hawa Wabunge watatu na wengineo wafikao zaidi ya 10 ambao wako kwenye listi ya maangamizi.

Source link: Pembe Tatu ya Ufisadi Bungeni - Tarishi Hauwawi - wavuti
 
Na Januari ni mtoto wa kufikia wa Makamba.
Kwa hiyo alipofikia kwa mama January, Yusufu alikuwa na ujiko gani wakati huo mpaka January na mamake wakabadili jina la mtoto kuwa Makamba? Hana baba mzazi?
 
Kero za taifa kama rushwa, ufisadi, ubadhilifu na uvivu ni subset ya matatizo yaliyopo majimboni. Huwezi kujipambanua kuwa unataka kutatua matatizo ya jimboni kama ubovu wa barabara, ukosefu wa zananati n.k (kwangu mimi haya ni universal set) bila kuanza kusema utafanya nini kutatua matatizo yale ya kitaifa.

Mgombea ubunge anayeanza na kuzungumzia kero za jimboni mwake, ni mwongo kwani hawezi kupambana nazo akiwa bungeni, bila ya kwanza kutatua matatizo na kero za kitaifa.

Kwahiyo nakubaliana na wote waliosema, kero kubwa za nchi hii haziko majomboni, bali zipo kwenye mfumo wetu!!

Kwahiyo January naposema kuwa anaenda bungeni ili kutatua kero za Bumbuli ni mwongo na kwa maana hiyo hafai kuwa mbunge wa jimbo hilo. Vinginevyo aitishe mkutano wmingine na ajipambanue kwa kero za kitaifa!
 
Watu wanaomjua huyu dogo, January, wanasema kuwa ana pesa za kutisha kwa ajili ya kuukwaa ubunge. Swali la kujiuliza ni kuwa mtumishi wa umma huyu mwenye miaka michache sana serikalini ametoa wapi utajiri huu mpaka kuchapisha kijitabu kuhusu Bumbuli, kununua wahariri wa magazeti kadhaa na kuwaweka sawa viongozi wa CCM Bumbuli? Ni dhahiri kuwa amepewa pesa na mafisadi wa Richmond ili waweze kulipiza kisasi chao kwa Shelukindo. Baba yake January, Yusuf Makamba, atatumia nafasi yake kama Katibu Mkuu wa CCM kuhakikisha kuwa matokeo ya kura za maoni jimbo la Bumbuli yanakuwa rigged ili mwanae achaguliwe kuwa mgombea wa CCM na kumuengua Shelukindo.

Cha kushangaza ni kuwa Rais Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa wa CCM na ni bosi wa Yusuf Makamba kwenye chama na January Makamba Ikulu ametoa baraka dogo huyu agombee ubunge na anaachia baba na mwanae wakifanya mambo ya ajabu kwenye chama. Kweli Rais tunaye!
 
Watu wanaomjua huyu dogo, January, wanasema kuwa ana pesa za kutisha kwa ajili ya kuukwaa ubunge. Swali la kujiuliza ni kuwa mtumishi wa umma huyu mwenye miaka michache sana serikalini ametoa wapi utajiri huu mpaka kuchapisha kijitabu kuhusu Bumbuli, kununua wahariri wa magazeti kadhaa na kuwaweka sawa viongozi wa CCM Bumbuli? Ni dhahiri kuwa amepewa pesa na mafisadi wa Richmond ili waweze kulipiza kisasi chao kwa Shelukindo. Baba yake January, Yusuf Makamba, atatumia nafasi yake kama Katibu Mkuu wa CCM kuhakikisha kuwa matokeo ya kura za maoni jimbo la Bumbuli yanakuwa rigged ili mwanae achaguliwe kuwa mgombea wa CCM na kumuengua Shelukindo. Sote tuliona juzi jinsi magazeti kama Jambo Leo (la Juma Pinto na Ridhiwani Kikwete), Tanzania Daima (lenye msimamo unaotia mashaka kuhusu EL na RA) na Mtanzania (mali ya RA) yalivyotoa makala kubwa kwenye ukurasa wa kwanza kuelezea jinsi January alivyotangaza kugombea ubunge.

Cha kushangaza zaidi ni kuwa Rais Jakaya Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa wa CCM na ni bosi wa Yusuf Makamba kwenye chama na January Makamba Ikulu ametoa baraka dogo huyu agombee ubunge na anaachia baba na mwanae wakifanya mambo ya ajabu kwenye chama. Kweli Rais tunaye!
Je, January ametakiwa ajiuzulu kwenye nafasi yake Ikulu ili akagombee ubunge? Au anaendelea kutumia ofisi hii takatifu na heshima, hadhi, na rasilimali za Ikulu ili kufanikisha kampeni zake za ubunge?
 
Back
Top Bottom