Makamba Atoa Msaada Wa Mchele Mbovu Kwa Waliobomolewa Nyumba Tabata

Makamba Atoa Msaada Wa Mchele Mbovu Kwa Waliobomolewa Nyumba Tabata

Shy,

nimesubiria muda mwingi sana uende mahakamani lakini naona kimya. Nilichosema kuwa wewe unahusishwa kwenye ile skendo ya kuwakamata wana JF bado nastand by that na sifuti statement yangu so you can go ahead and do what you want!

haya mambo ya kutisha watu umeyatoa wapi tena? bado nakuuliza swali kama ulifaidika na nini wana JF walipokamatwa?

Huyu shy kweli ni nishai .Mbaneni mbavu huyu anaonekana ana mengi huyu .
 
Makamba masikini,

mambo yanaenda south kwa kila anachogusa!

Inawezekana kabisa kuwa kuna mpango wa makusudi wa kuwalisha sumu hao waliobomolewa nyumba ili wapotee kabisa - Unadhani kuwa Makamba hakujua kuwa kuna haja ya kuchunguza hicho chakula au aliyekitoa?

Nahakika makamba hajui lolote kuhusu huo mchele mbovu,alichofanya yeye alimpigia tu simu huyo muhindi na kuomba msaada wa huo mchele ndio maana amekuwa mpole ktk hili kasheshe.CCM ndio zao tokalini wakawa na uhuruma na maisha ya watanzania zaidi ya kuwadenda wawape kura wakati wa uchaguzi.Zakaria ni milionea tanzania ktk matajiri wa bongo basi kama hamjui yeye yupo kwenye tatu bora.
 
Kama kweli Makamba hakujua kuwa huo mchele haufai (bado naamini kuwa alijua au alizembea tu ili asijue), kwanini hamchukulii hatua huyo mhindi? hawa wafanyabiashara kwa kiasia na ccm sijui wamefunga ndoa lini ambayo haiwezi kuvunjwa na wanadamu! grrrr
 
Mwafrica Wa Kike Wala Usife Moyo Kuhusu Hawa Wahindi Maana Najua Ya Kuwa "hakuna Hali Inayoweza Kudumu Milele"so Kuna Siku Mambo Yatabadilika Tu Na Wenye Nchi Watairudisha Nchi Yao Mikononi Mwao Na Nguvu Za Mafisadi Kuangamia
 
Na Hizi Ndizo Dalili Za Nyakati Za Mwisho Maana Kila Jambo Ni Mvurugo Tu. Sasa Ebu Fikiri Kweli Mpaka Huyu Mhindi Anaamua Kutoa Chakula Kibovu Wazi Wazi Si Ina Maana Ameshachoka Na Hawa Watu, Kwani Nani Asiyejua Kuwa C.c.m Ni Omba Omba
 
Ni Aibu Kubwa Sana Yaani Huyu Wameamua Kutuua Kabisa Baada Ya Kuchoka Na Kutuibia
 
...Mi namshangaa Makamba..amenunua chakula bila kuangalia kina expire lini na kukitoa kama msaada hii inaingia akilini kweli..??.Hivi kweli kingekuwa chakula anachonunua kwa ajili ya familia yake kweli asingeangalia kina expire lini??? .. Hii mi natafsiri kama ni dharau na kejeli kwamba hawa wananchi wa tabata si binadamu na hawafai kupewa chochote kilicho bora..
 
Kama kweli Makamba hakujua kuwa huo mchele haufai (bado naamini kuwa alijua au alizembea tu ili asijue), kwanini hamchukulii hatua huyo mhindi? hawa wafanyabiashara kwa kiasia na ccm sijui wamefunga ndoa lini ambayo haiwezi kuvunjwa na wanadamu! grrrr

Hivi unajua viongozi wengi wa nchi yetu ni manamba,kwa mtaji huo hii ndoa haiwezi kwisha ndio maana wanabaki ombaomba.ukifika bongo jaribu kutembelea majumbani mwao uone wanavyoishi,au ukishindwa tutafutane mimi ninafahamiana nao wengi,nitakusaidia kukupitisha,uone kuanzia chai ya asubuhi,chakula cha mchana ndio utajua kwa nini nchi aina maendeleo.
 
...Mi namshangaa Makamba..amenunua chakula bila kuangalia kina expire lini na kukitoa kama msaada hii inaingia akilini kweli..??.Hivi kweli kingekuwa chakula anachonunua kwa ajili ya familia yake kweli asingeangalia kina expire lini??? .. Hii mi natafsiri kama ni dharau na kejeli kwamba hawa wananchi wa tabata si binadamu na hawafai kupewa chochote kilicho bora..

mimi nafikiri huo mchele aliuona wakati anaukabidhi kwa walengwa ili apigwe picha akionyesha kuwa anatoa msaada na si vinginevyo.
Hivi umewasahau nini ccm kwa kubambikiwa ndio wenyewe kwani hukuona ile hundi aliyokabidhiwa raisi iliandiwa ndivyo sivyo lakini bado watu walimpigia makofi ili kuhalalisha udhaifu wao.Au yule mbunge wa buchosa aliyefoji cheti cha
kidato cha sita wao wanamuita shujaaa,
 
Hapa Makamba amenakiliwa akimtaja Zakaria kama ndiye aliyemuuzia mchele mbovu, jee akipatiwa taarifa rasmi anaweza kumchukulia hatua kama mhalifu anayewalisha WTZ chakula kibovu?. au ndio basi lilopita limpita ataomba abadilishie na kadhia imekwisha.

Huyu mhindi ..ndio walewale!!
Akitajwa fisadi hadharani itakuwaje ilhali anahatarisha afya za wananchi?
 
"Nilinunua chakula kwa Zakaria nikawapelekea baada ya kuniambia wana matatizo yakiwamo ya masufuria na pamoja na mchele huo niliwapa pia magunia 10 ya maharage...inaonekana sasa suala hili linataka kugeuzwa la kisiasa," alisema Bw. Makamba.

makamba hawezi kuwa amenunua mchele kwa zakaria hata siku moja atakuwa amepewa bure na kama kawaida yake zakaria ndio wale wanaoingiza chakula kibovu TZ.
na anapenda kufanya kafara mara kwa mara
pia huwa kuna siku nyingine anakaa na kugawa hela mimi na rafiki yangu tushapata 10K each
 
Back
Top Bottom