makonko JF-Expert Member Joined Sep 18, 2017 Posts 233 Reaction score 264 Jun 11, 2022 #21 Yaani mwezi uliopita umeme wa elf 10 unapata unit 28.1,mwezi huu unapata 25.2 alafu mtu anasema umeme haujapanda
Yaani mwezi uliopita umeme wa elf 10 unapata unit 28.1,mwezi huu unapata 25.2 alafu mtu anasema umeme haujapanda
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jun 11, 2022 #22 Kelvin X said: Nimeona kuna watu wana chuki binafsi na makamba. Iko siku watakamatwa. Click to expand... Kwahiyo hairuhusiwi hapa Tanzania kumchukia Makamba?? Yeye nani nchi hii ??
Kelvin X said: Nimeona kuna watu wana chuki binafsi na makamba. Iko siku watakamatwa. Click to expand... Kwahiyo hairuhusiwi hapa Tanzania kumchukia Makamba?? Yeye nani nchi hii ??
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Jun 11, 2022 #23 Alikuwa anajaribu kupima upepo jinsi utakavyovuma,mie mwenyewe nilitumiwa iyo taarifa na nikasema kama ni kweli ilo basi nitaenda tanesco kuwapa taarifa waje watoe mita yao
Alikuwa anajaribu kupima upepo jinsi utakavyovuma,mie mwenyewe nilitumiwa iyo taarifa na nikasema kama ni kweli ilo basi nitaenda tanesco kuwapa taarifa waje watoe mita yao
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jun 11, 2022 #24 Bei ya umemw unit ni 357 ndo mana ukinunua umeme wa 10,000 zinapatikana units 28.011....uyo kipara hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba 10
Bei ya umemw unit ni 357 ndo mana ukinunua umeme wa 10,000 zinapatikana units 28.011....uyo kipara hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba 10