Makamba: Bei ya umeme haijapanda

Makamba: Bei ya umeme haijapanda

Yaani mwezi uliopita umeme wa elf 10 unapata unit 28.1,mwezi huu unapata 25.2 alafu mtu anasema umeme haujapanda
 
Alikuwa anajaribu kupima upepo jinsi utakavyovuma,mie mwenyewe nilitumiwa iyo taarifa na nikasema kama ni kweli ilo basi nitaenda tanesco kuwapa taarifa waje watoe mita yao
 
Bei ya umemw unit ni 357 ndo mana ukinunua umeme wa 10,000 zinapatikana units 28.011....uyo kipara hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba 10
 
Back
Top Bottom