Tetesi: Makamba hakurejesha fomu, alindwa

Tetesi: Makamba hakurejesha fomu, alindwa

Status
Not open for further replies.

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
 
Tulia tulia; wacha mcheche! Fuatilia haya mambo kwa kituo wacha mihemuko na ushabiki mandazi; mwachie JPM na MKM wanajua wanachofanya; wape muda; wewe huna taarifa za kutosha; sikilizia l!
 
Kama ni hivyo basi picha za kwenye news hazijamwoyesha bi ndalichako pia! Mbona hujasema nae analindwa? Subiri news tu kwa kweli
 
Waziri mkuu Majaliwa naye keshapeleka za kwake?
 
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
Mbona ni mawiziri tu ? Wabunge je ?
 
February anaringia kikwete anajua hamna wa kumgusa.. Waiting for my President Lowasa
 
Mkuu, umekula maharage ya wap? Unadhan ni serikali ya kulindana hii? Kulindana kungetokea tu kama angepita yule nywele nyeupe na si kwa jpm.
sasa mbona hajarejesha fomu na kaachwa ?
 
Sasa hili zoezi litakuwa na faida gani kwa mwananchi ikiwa ataishia kusikia ni mtumishi gani wa umma aliyerudisha fomu, bila kuwekwa wazi ni mali gani mtumishi huyo ameziorodhesha anazimiliki.
 
Huyo Ndiye Mkuu Wa Timu Yake Ya Tehama, Ilivyokuwa Pale Mlimani City "Wakihesabu ", Kipindi Cha Uchaguzi Mkuu!! Hakuna Mtu Mwenye Uwezo Wa Kumfuta Kazi, Iwe Serikalini Au Ndani Ya CCM!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom