OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kwani ct scan ya muhimbili walitaja wamechukua dodoma hospital?si ilibuma badae?Kwenye tarifa za habari wametajwa wote wamerejesha hizo fomu.
Tulia tulia; wacha mcheche! Fuatilia haya mambo kwa kituo wacha mihemuko na ushabiki mandazi; mwachie JPM na MKM wanajua wanachofanya; wape muda; wewe huna taarifa za kutosha; sikilizia l!Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
Swali zuri nami nasubiri majibu na kama utajibiwa inbox nami nijuze tafadhariHivi Magufuli yeye alisha peleka za kwake?
Dkt. Tulia kafanya nini tena? Mbona mwamtaja?🙄🙄Tulia weye acha Hiyo mambo!
Mbona ni mawiziri tu ? Wabunge je ?Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa amejifuta kazi.Aidha ktk vyombo vya habari January haonekani kutajwa wala kuonekana kurejesha form tofauti na wateule wengine
sasa mbona hajarejesha fomu na kaachwa ?Mkuu, umekula maharage ya wap? Unadhan ni serikali ya kulindana hii? Kulindana kungetokea tu kama angepita yule nywele nyeupe na si kwa jpm.
Alimfukuza Heche.Makamba ni namba nyingine pale ccm, hafanyi kazi kwa uogaa