'MRADI WA UMEME WA RUSUMO HYDROPOWER PROJECT KUKAMILIKA MWEZI NOVEMBA 2022' - MAKAMBA
Siku ya sita ya Ziara ya Waziri wa Nishati January Makamba kwenye Mikoa 14 na Wilaya 38 imemfikisha kwenye mpaka wa Tanzania na Rwanda unapojengwa mradi mkubwa wa uzalishaji Umeme wa Maji wa Rusumo (Rusumo hydropower Project).
Mara baada ya kukagua mradi huo Waziri Makamba alipata nafasi ya kuongea na Wanahabari kuhusu hali ya mradi huo ulipofikia ambapo amesema>>' Kasi ya Ujenzi inaendelea vizuri na uko kwenye asilimia 95%, mradi ukikamilika Kampuni hii itauuzia umeme mashirika ya Umeme kwenye hizi nchi tatu (Rwanda, Burundi na Tanzania) umefadhiliwa na wafadhili wa Benki ya maendeleo ya Afrika na wafadhiri wengine wa Maendeleo' - Makamba.
Pamoja na hayo Waziri Makamba akaongeza kwa kusema >>'Tunautegemea mradi huu kuongeza uhakika wa umeme kwenye ukanda huu wa Ziwa Victoria, Jawabu la matatizo ya umeme kanda ya Ziwa ni mradi huu' - Makamba.
Mradi huu wa Rusumo Hydropower unategemewa kumalizika mwezi Novemba mwaka huu (2022) na utahusisha nchi 3 ambazo ni Tanzania, Rwanda na Burundi.
'MRADI WA UMEME WA RUSUMO HYDROPOWER PROJECT KUKAMILIKA MWEZI NOVEMBA 2022' - MAKAMBA
Siku ya sita ya Ziara ya Waziri wa Nishati January Makamba kwenye Mikoa 14 na Wilaya 38 imemfikisha kwenye mpaka wa Tanzania na Rwanda unapojengwa mradi mkubwa wa uzalishaji Umeme wa Maji wa Rusumo (Rusumo hydropower Project).
Mara baada ya kukagua mradi huo Waziri Makamba alipata nafasi ya kuongea na Wanahabari kuhusu hali ya mradi huo ulipofikia ambapo amesema>>' Kasi ya Ujenzi inaendelea vizuri na uko kwenye asilimia 95%, mradi ukikamilika Kampuni hii itauuzia umeme mashirika ya Umeme kwenye hizi nchi tatu (Rwanda, Burundi na Tanzania) umefadhiliwa na wafadhili wa Benki ya maendeleo ya Afrika na wafadhiri wengine wa Maendeleo' - Makamba.
Pamoja na hayo Waziri Makamba akaongeza kwa kusema >>'Tunautegemea mradi huu kuongeza uhakika wa umeme kwenye ukanda huu wa Ziwa Victoria, Jawabu la matatizo ya umeme kanda ya Ziwa ni mradi huu' - Makamba.
Mradi wa kuendeleza bonde la mto Kagera ulisainiwa na marais watatu pale Rusumo mwaka 1978.
Walikuwa ni:
Julius Nyerere - Tanzania,
Juvenari Habyarimana - Rwanda na
......... Bagaza - Burundi
Wote ni marehemu.
Ilikuwa sherehe kubwa mno.
Tulikula na kunywa kwa wingi.
Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) has awarded Multiconsult two major consultancy contracts for the Rumakali and Ruhudji hydropower project and transmission lines projects in Tanzania. The projects will play a significant role in meeting the country’s increasing electricity demand.
Multiconsult will undertake feasibility studies, prepare conceptual design and tender documents, as well as conduct environmental and social impact assessment studies for the two proposed hydropower projects and associated transmission lines.
The 222 MW Rumakali and 358 MW Rhuhudji projects are both located in the Njombe region and could double the total installed hydropower capacity in Tanzania, from 562 to 1142 MW.
“We are very proud to be participating in the energy development in Tanzania by being awarded these large and important projects,” said Hilde Gillebo, EVP Energy in Multiconsult.
According to the International Energy Agency and the World Bank, Tanzania’s GDP is expected to grow by around 5-7 per cent annually in the coming years. However, despite vast hydropower and solar potential, only an estimated 36.6 per cent of the population in Tanzania currently has access to electricity
The Government of Tanzania has set aggressive electrification targets, aiming to achieve 75 per cent electrification by 2035. The Rumakali and Ruhudji hydropower projects will be significant in meeting the country’s increasing electricity demand.