Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea.
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
“Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia na kwa rekodi, uzoefu na ubunifu wake kwenye uongozi, hatuna shaka na ushindi utakuwa mkubwa. Kwa hiyo tutakwenda kumpigia kampeni kwa wananchi kwa nguvu na maarifa yetu yote na kwa kuwa amefanya mambo makubwa kwenye maendeleo, tuna uhakika na ushindi,”