Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
January. whom are you fooling na utaacha lini unafiki? Kuna chawa waliukamia urais kama wewe na Mwigulu madilu Nchembwa?Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea.
“Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia na kwa rekodi, uzoefu na ubunifu wake kwenye uongozi, hatuna shaka na ushindi utakuwa mkubwa. Kwa hiyo tutakwenda kumpigia kampeni kwa wananchi kwa nguvu na maarifa yetu yote na kwa kuwa amefanya mambo makubwa kwenye maendeleo, tuna uhakika na ushindi,”
Once a chawa always a chawa! Chawa anataka aonekane tena!Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea.
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
“Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia na kwa rekodi, uzoefu na ubunifu wake kwenye uongozi, hatuna shaka na ushindi utakuwa mkubwa. Kwa hiyo tutakwenda kumpigia kampeni kwa wananchi kwa nguvu na maarifa yetu yote na kwa kuwa amefanya mambo makubwa kwenye maendeleo, tuna uhakika na ushindi,”
Makamba kiherehere chako kutaka kugombea urais ukisaidiwa na Nape kilisababisha mchinjiwe baharini mapema na bila shaka ni kazi toka Msoga akihofia ya hayati Ngoyai.Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea.
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
“Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia na kwa rekodi, uzoefu na ubunifu wake kwenye uongozi, hatuna shaka na ushindi utakuwa mkubwa. Kwa hiyo tutakwenda kumpigia kampeni kwa wananchi kwa nguvu na maarifa yetu yote na kwa kuwa amefanya mambo makubwa kwenye maendeleo, tuna uhakika na ushindi,”
Huyu Obama wenu akiwa nje ya mfumo anakua hana sifa yoyote yakiuongozi sisiemu konyo sanaMjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea.
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
“Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia na kwa rekodi, uzoefu na ubunifu wake kwenye uongozi, hatuna shaka na ushindi utakuwa mkubwa. Kwa hiyo tutakwenda kumpigia kampeni kwa wananchi kwa nguvu na maarifa yetu yote na kwa kuwa amefanya mambo makubwa kwenye maendeleo, tuna uhakika na ushindi,”
Makamba unaongea kuhusu democracy gani!!??? Mngeacha watu wachukue fomu apambanie nafasi na yeye, HAPO HAKUNA DEMOCRACY BALI NI MAVI YA POPO.Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea.