Elections 2010 Makamba: Viongozi CHADEMA wana akili ndogo

Kwa wasiomjua Makamba, wanaweza kumshangaa! Makamba hakuwa chaguo la Kikwete ila aliletwa na mtandao chini ya makamanda EL na RA, kama walivyo wengine kina Sitta, Chenge na wengineo. Na huyu Makamba aliletwa kama stooge wa mtandao, ili afanye yale anayoambiwa na waliomliomuweka, na sifa kubwa ni kutenda bila kuuliza maswali, kama ilivyo asili ya wajeshi kupokea amri kutoka kwa waliowazidi vyeo. Sasa anachowakilisha Makamba ni sauti za wakubwa zake, kwa maana nyingine anatumika kama amplifier, na ndio maana katu hawezi kujadili swal la Ufisadi na Makundi ndani ya chama chake. Hivi karibuni wamempa zawadi ya kijana wake(January) kuwa mbunge, naye akiandaliwa kupokea amri za wakubwa wa baba yake (makamanda wa uliokuwa mtandao), baada ya kuonekana Makamba kachoka kimwili na akili pia, so he has to be replaced. Wengi mtasema ni Consipiracy theory but that's a fact. Kwa kumalizia atakachosema mzee huyu, si yeye bali analipa fadhila ya waliompa unga, kwa ku-amplify interest zao bila kujali his own intergrity, anahitaji kuhurumiwa. Pole Mzee.
 
Makamba anachachawa na makomandoo. Dr.Slaa yupo juu na huo ni ukweli usiopingika. Inaonekana anaipenda CHADEMA,kama vipi anakaribishwa kwa wateule wa bwana!!

yupo juu kwa lipi? alishindwa kuongoza waumini wa bwana kanisani,,hataiweza bongo,,Dr Slaa hana uelewa wa uongozi,,hajui lolote nje ya mipaka ya Tanzania, hajajiandaa na hajaandaliwa, hana uzoefu wa uongozi,,zaidi ya upadri na ubunge,,,ubunge unamfaa lakini sio urais kwani analeta changamoto bungeni kitu ambacho Tanzania inaitaji kwa sasa,,Tunaitaji adjustments kidogo tu ndani ya chama tawala,,lakini sio mfumo mzima kwani wapinzani hamjajiaandaa ipasavyo na wengi ni rejects(not rebels) wa CCM,,

Kikwete mpaka 2015,,,simple
 
Makamba nani asiyemjua,kazaliwa motuary kakulia mirembe.
 
Hebu jibuni hizo hoja jamani, stop cherry picking hoja ambazo ziko upande wenu tu. Halafu mkiambiwa mna akili ndogo mnalalamika. Ukiangalia kwa undani majority ya posts za Chademanistas humu ndani zina ufinyu wa mawazo.

Hapo kamsema Shibuda, kamsema Slaa, Kamsema marando na amewasema viongozi wa CHADEMA as whole. Na kawasema kwa mambo binafsi yasiyokuwa na maslahi kwa ustawi wa taifa. Marando wakati anawataja akina Kikwete, Rostam na Lowasa, aliwataja kama wabakaji wa uchumi wa nchi yetu. Sasa kati ya Makamba na viongozi wa CHADEMA ni nani aliye punguani hapa? CCM wanaboa kuliko maelezo kwakweli.
 
Katibu huyo wa CCM alihoji kwa kuwa Dk Willibrod Slaa alishindwa kiapo cha kanisani cha upadri, hawezi kutunza kiapo cha kuongoza nchi.
Si utani...
 

Wait a minute Mwawado... Yaani Makamba kama kamanda na mpiga filimbi namba moja wa chama anapeleka mkwe kwenda kuzalia USA? Halafu anajifanya anatupenda watanzania??

Hivi ina maana hawa ni watu kuliko sisi eh??

Mh, kweli hii vacuum wanayoitengeneza hawa watawala haitaisha mpaka damu imwagike... NAomba warejee historia ya SIERRA LEONE, things started just like hapa kwentu mambo yanavyokwenda

Nasikitika sana kama ni kweli
 
point hapa wenye kuzungumzia watu baada ya issue hili ndilo linapelekea simple mind kama za akina hawa

Wewe Mtu wa Pwani unaona swala la ufisadi dogo na sio issue? Ngoja nikupe Statistics uone kama ufisadi ni issue kubwa kuliko issue nyengine yeyote ya uchaguzi. Ufisadi kwa ujumla unaoccupy more than 20% of the Country GDP (Je hii si issue?). Ufisadi unasababisha kupotea kwa maadili na uwajibikaji wa wafanyakazi serikali kiasi kwamba hakuna kinachoenda bila ya kuiba (Kupotea kwa ufanisi kazini je hii si issue?). Ufisadi unasababisha kupotea kwa huduma za jamii (Mfano gari mmoja la kibopa wizarani linaweza kujenga zahanati kama 5000 vijijini je hii si issue). Halafu unasema hawazungumzi issue ni sawa sawa wanazungumza hivyo ili wananchi waangamue lipi la kufanya maana CCM wanaiba halafu wanajidai wanasaidia jamii kumbe nyuma ya mgongo wanatafuna rasilimali zetu.... Mwaka huu CCM hatudanganyiki rafiki
 

Yaani wewe ulikuwa hujui mke wa Januari kuzalia Marekani?

Wajinga sana hawa watu. Wanajifanya wanaipenda Tanzania kumbe hamna lolote. Sasa watu kama hawa tutegemee kweli watatuongoza ktk kuleta maendeleo?

Just typical Miafrika....
 
Yaani wewe ulikuwa hujui mke wa Januari kuzalia Marekani?

Wajinga sana hawa watu. Wanajifanya wanaipenda Tanzania kumbe hamna lolote. Sasa watu kama hawa tutegemee kweli watatuongoza ktk kuleta maendeleo?

Just typical Miafrika....

Mkuu nilikua sijui... haka kajamaa kumbe ni hypocrite... duh!!!!

Hivi wandhani waafrika tutakua mabwege milele???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…