Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KATIKA GAZETI LA LEO MWANAHALISI KUNA HABARI ZA KUWA MAKAMBA AMELAZWA HOSPITALI YA APOLLO HUKO NEW DELH,
mwenye data amwage hapa isije ikawa wameshamkolimba hawa, manake hawaaminiki wanahangaika sana hawa
Makamba Yuko Mahutihuti India
UKIJENGA HOSPITALI NZURI HAPA UTACHOTAJE PESA YA PER DMTungewekeza katika hospitali zetu wala tusingekuwa na haja ya kwenda India kila mara, wangapi wanaweza kumudu kwenda India.
Ndiyo Ujamaa na Kujitegemea?
Aibu.
Kada..wewe ndiye tunayekutegemea kwasababu si unajua inawezekana ni yeye aliyezipokea pesa za EPA wakiziingiza kwenye kampeni ya CCM?
Je nini kinaendelea bongo?
Sijui ni kwa muda gani tutaendelea kujiaibisha,kwa kutibiwa nje kwa gharama kubwa.Ni saa ya ukombozi
Tungewekeza katika hospitali zetu wala tusingekuwa na haja ya kwenda India kila mara, wangapi wanaweza kumudu kwenda India.
Ndiyo Ujamaa na Kujitegemea?
Aibu.
lol.. aliwahi mwambia binti mmoja eti atamlea lakini yeye na ndom m2 na adui eti ana allergy nazo...sasa sijui...
kwa kuwa uv-ccm, na chiligati wao ni vimbelembele wa kukanusha tuhuma dhidi yao, na kwa kuwa tangu gazeti hili la mwanahalisi kiandike hizi habari hakuna aliyekanusha, na kwa kuwa siku za karibuni gazeti hili limekuwa linaaminika kwa kutoa habari ambazo baadaye huthibitika kuwa ni za kweli, KWA HIYO NI KWELI KUWAA HUYU BWANA LUTENI KANALI MAKAMBA NI MGONJWA SANA, TUMWOMBEE APONE
Bado nafuatilia kujua kama Fisadi Manji amekwenda "kumjulia hali" Makamba
He is next.....