Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
IF AT HE WILL BE NEXT, BASI MUAFAKA WA CUF NA CHAMA CHA CHUKUA CHAKO MAPEMA UTAPATIKANA. SIMPLY BECAUSE, JAMAA NI KIKWAZO KWENYE MEZA YA MUAFAKA.
Hawa watu wana nini? pengine hayupo mahututi ila kenda check-up ya mafuwa tuu. Si unajuwa tena hao ndio wenye nchi? hizo pesa wanazitowa wapi? wakati wengine wanakufa kwa magonjwa madogo tu hapa kwetu, wenzetu wanaokomba vijisenti vyetu vya kodi wakiumwa kidogo India, South Africa, Europe. Hata haya hawaoni wala hawajuwi vibaya. Ni juzi juzi tuu tulisikia Mkuu Shein yuko huko anakaguwa namna apollo hospital watavyowekeza hapa, sasa jamaa ndio yuko huko, atatibiwa bure? kama hatolipa fedha basi atalipa fadhila. Uzi ule ule ufisadi kwenda mbele.
Tanzania inabidi tufike mahali tuliangalie upya suala la viongozi kutibiwa nje ya nchi. Tukiboresha MHimbili kuna haja gani ya kuenda nje ya nchi? Sasa hao ni viongozi hatuambiwi kuhusu waume/wake za viongozi wanapougua wanatibiwa wapi na watoto pia. Kama baba/mama haamini matibabu ya ndani ya nchi ni wazi kuwa mke/mume wake na watoto wanapougua itabidi awapeleke nje, na kwa kuwa wanatibiwa na serikali ni gharama kwa wananchi.
Mkuu, si tu ni kikwazo bali ni "weak link" hajui kinachoendelea. Nimekuwa nikisikiliza na kusoma anayoyatoa nikagundua sijui darasa lake ni la kiwango gani na ufahamu wake ni aina gani. It is so surprising that kila mara ana ji contradict. I fell so sorry kwa watanzania kwani the 2% Most Bogus people are the one making decision for the whole tanzanians. Inanuma sana
no cuf hawana kisasi na MAKAMBA,cuf wao hasira zao ni WAHAFIDHINA wa SMZ tu.
I know its Oxford coma and all, but really,is "mahutihuti" a word?