Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hii nchi inaumiza sana moyo. Yaani wakati wananchi wa kipato cha chini wanaumia na maisha magumu wakilambishwa Shubiri.
Kuna mtu anatamba kuwa wao wanalamba asali. Na mbaya zaidi kuna watu wanampigia makofu na kushangilia. Hili ndilo lililoniumiza zaidi.
Yaani form one wanacheka na form two wapo? Form two wanacheka na form three wapo? Form three wanacheka na form four wapo? Form four wanacheka na form five wapo?
Form five wanacheka na form six wapo? Na form six wanacheka huku wenye diploma wapo? Wenye diploma wanacheka na huku wenye degree wapo? Wenye degree wanacheka na huku sisi wenye Masters tupo?
Hii nchi hii... Napita mitaani sura za watu zimejikunja kabisa na kugangamaa utadhani wanakula saruji. Jasho halitoki tena unatoka moshi tu.sababu mwilini hakuna kitu kunachemka kwa ndani.
Wanalamba shubiri ...halafu kuna mtu anatamba kuwa wao wanalamba Asali anashangiliwa.... Alipaswa kuzomewa.