LGE2024 Makambako: Mwenyekiti wa Mtaa kupitia CHADEMA aahidi ushirikiano na Wananchi Mangula

LGE2024 Makambako: Mwenyekiti wa Mtaa kupitia CHADEMA aahidi ushirikiano na Wananchi Mangula

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mangula, Halmashauri ya Mji wa Makambako, Sunday Chungwa, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameahidi kushirikiana kwa karibu na wananchi wa mtaa wake ili kuhakikisha maendeleo ya pamoja.

Chungwa alisisitiza kuwa ushirikiano kati ya viongozi na wananchi ni muhimu kwa maendeleo endelevu, akiahidi kuwa sauti za wananchi zitazingatiwa katika mipango na maamuzi ya mtaa huo.

 
Back
Top Bottom