Mwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kupigana na mwananchi aliyekuwa msibani baada ya kuitwa na wananchi kwenda kutatua mgogoro wa kifamilia ulioibuka kuhusu haki za mjane wa mwanaume aliyefariki.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, mgogoro...
Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza
Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
Ila huyu mwenyekiti kiboko! Yani hata mshipa wa aibu hana
=======
Mkazi wa Matiju B, Rashidi Bakari, ameeleza masikitiko yake baada ya kurejea kutoka kupanda Mlima Kilimanjaro na kukuta mke wake ameolewa na Mwenyekiti wa mtaa huo anayefahamika kwa jina la Isa, bila yeye kupewa taarifa yoyote...
Mimi ni mkazi wa Mabibo Sahara, kero yangu/yetu wakazi wa huku tunachangishwa pesa za ulinzi shirikishi kwa maelekezo ya mwenyekiti, shida siyo kuchangishwa fedha kwa ajili ya ulinzi shirikishi kama mtaa, je ni sawa kuchangishwa kila chumba kwa nyumba moja yaani sio nyumba ila kila chumba...
Sabato Njema!
Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati.
Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana.
Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
Ntobi, mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga na Kijana mtiifu wa Mbowe ameendelea kushambulia wasiomuunga mkono Mbowe.
Safari hii anasema kuwa John Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa.
Heche ambaye amewai kuwa mwenyekiti wa bavicha taifa, diwani na mbunge. Kwa sasa vijana wa Mbowe...
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mangula, Halmashauri ya Mji wa Makambako, Sunday Chungwa, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameahidi kushirikiana kwa karibu na wananchi wa mtaa wake ili kuhakikisha maendeleo ya pamoja.
Chungwa alisisitiza kuwa ushirikiano kati ya viongozi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.