Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Ila huyu mwenyekiti kiboko! Yani hata mshipa wa aibu hana
=======
Mkazi wa Matiju B, Rashidi Bakari, ameeleza masikitiko yake baada ya kurejea kutoka kupanda Mlima Kilimanjaro na kukuta mke wake ameolewa na Mwenyekiti wa mtaa huo anayefahamika kwa jina la Isa, bila yeye kupewa taarifa yoyote wala kufuatwa kwa taratibu rasmi za talaka.