Makambako: Njia ya treni yaharibika

Makambako: Njia ya treni yaharibika

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Wakuu,

Kuna taarifa njia ya reli ya TAZARA imeharibika. no pictures please.

Upuuzi huu na mwingine kama migao ya umeme tutaisikia sana baada ya Dr. Magufuli lakini tujue kama ambavyo Dr. Magufuli hakuishi milele basi na huyu aliepo hatoishi milele.

Sisi Wananchi wa Tanzania hatutaki tozo bali tunataka barabara, reli na umeme unaofanya kazi.

Huyu mama akiendelea kulea wapiga dili she is a MESS to our country.
 
wakuu.

kuna taarifa njia ya reli ya TAZARA imeharibika. no pictures please.

upuuzi huu na mwingine kama migao ya umeme tutaisikia sana baada ya Dr. Magufuli. lakini tujuwe kama ambavyo Dr. Magufuli hakuishi milele basi na huyu aliepo hatoishi milele.

sisi Wananchi wa Tanzania hatutaki tozo bali tunataka barabara, reli na umeme unaofanya kazi.

huyu mama akiendelea kulea wapiga dili she is a MESS to our country.
Mkuu hoja yako ni kuharibika kwa njia ya treni au tozo?
 
Back
Top Bottom