Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti mitaa ya Mwembetogwa, Azimio na Lumumba iliyopo kata ya Mwembetogwa Halmashauri ya mji Makambako, wakieleza sera zao kwa wananchi ili wawachague katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaofanyika November 27 mwaka huu.