Kocha ndo mwenyekiti wa kamati ya usajili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe Msolla ameingizwa mjini na Zahera, walikubaliana akafanye vipimo vya tu, halafu wajadiliane bei, lakini Zahera amemuuza mwenyewe na Horoya watajua jinsi ya kupambana, itakuja issue ya mshahara na hela ya usajili.
Amekula 10% zao tayari na ndo maana anawajaza wacongo na msimu ujao hela anakabidhiwa atawapiga sana tuHuuh huuh...! Nasikia Zahera ndo kaondoka naye kwenda kumuuza, yaani jamaa anafanya atakalo..[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata SAF alifanya kwa Rinaldo
Wanajitahidi sana kwenye CACL wamefika robo fainali misimu miwili mfululizo japo walipigwa na Wydad Casablanca huko Morroco 5-0 baada ya sare ya 0-0 huko Guinea na kutupwa nje msimu huu.Hii team n bonge LA team kweny soka la africa
Jamaa kachagua team nzri tu Acha akakuze soka lakeWanajitahidi sana kwenye CACL wamefika robo fainali misimu miwili mfululizo japo walipigwa na Wydad Casablanca huko Morroco 5-0 baada ya sare ya 0-0 huko Guinea na kutupwa nje msimu huu.
Bora wangekua wamemuuzaYanga wamepata pesa
Tuanzie hapa hivi Makambo alisaini Yanga kwa muda gani?Ingekuwa simba wameuza mchezaji isingekuwa njaa. Wachezaji wapo kwa ajili ya maslahi km pametokea sehem pazuri anaenda.
Sijaona sababu ya kichwa cha habari kuwa kaikimbia wakati huohuo unasema M/kit anayo taarifa.
Mikia acheni kufuatilia Yanga.. Kwenu kunawaka moto MO Anataka 6B zake au wampe hati za Msimbazi. . TafakuriKumbe Msolla ameingizwa mjini na Zahera, walikubaliana akafanye vipimo vya tu, halafu wajadiliane bei, lakini Zahera amemuuza mwenyewe na Horoya watajua jinsi ya kupambana, itakuja issue ya mshahara na hela ya usajili.