Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Kibubu si kimejaa lakini?Daah! Ila Mtani kwa kuwa mpira ndio maisha yake wacha aende tu huenda kuna cha zaidi atakipata huko.
Habari na title havina uhusiano. Kuikimbia ni kitu kingine. Kaondoka vizuri kwa baraka za Yanga.Habari mpya ni kwamba leo Mshambuliaji tegemeo wa Yanga Heritier Makambo amejiunga na Horoya ya Guinea kwa mkataba wa miaka mitatu, habari zaidi zitafuata.
Huuh huuh...! Nasikia Zahera ndo kaondoka naye kwenda kumuuza, yaani jamaa anafanya atakalo..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawasawa Mtani sasa itabidi mtafute mbadala wake maana msimu huu kamisaidia sana, yani ukisikia Yanga wameshinda 1 au 2-1 (maana hivi ndo vijiushindi vyenu 😜😜)basi ujue Makambo kahusika, sasa msipotafuta mbadala wake basi msimu ujao Mnyama Simba atamitimulia vumbi kwa mara nyingine tena. 😀😀😀Daah! Ila Mtani kwa kuwa mpira ndio maisha yake wacha aende tu huenda kuna cha zaidi atakipata huko.
Mtasema mengi mkuu,but mpira si kama hivi unavyosema.Yaani kocha anakuwa wakala wa mchezaji how comes? Kweli Bongo soka hakuna ladha kabisa Kocha anakuwa anawachezaji wake kwenye timu na Yanga mkakubali tu, anaaga anaenda Congo kumbe anakwenda kupiga dili na watu wanaachwa wamesinzia tu, tangu lini mchezaji anauzwa na timu iliyokopeshwa mchezaji yaani mmekopeshwa mchezaji halafu nyinyi mumuuze tena hiyo inakuja kweli?. Zahera anacheza na akili zenu kawaona kabisa ni vichwa maji halafu eti mmsubiri aje ndio muulize kuhusu hiyo ofa ya mchezaji na wakati tayari ameshatinga uzi wa HOROYA, Acha niweke nukta hapo.
Mkuu hebu niambie kwa fact basi ili nikuelewe vizuri maana sijakuelewa kabisa.Mtasema mengi mkuu,but mpira si kama hivi unavyosema.
Mbumbu tulieni, Yajayo yanafurahisha.Yaani kocha anakuwa wakala wa mchezaji how comes? Kweli Bongo soka hakuna ladha kabisa Kocha anakuwa anawachezaji wake kwenye timu na Yanga mkakubali tu, anaaga anaenda Congo kumbe anakwenda kupiga dili na watu wanaachwa wamesinzia tu, tangu lini mchezaji anauzwa na timu iliyokopeshwa mchezaji yaani mmekopeshwa mchezaji halafu nyinyi mumuuze tena hiyo inakuja kweli?. Zahera anacheza na akili zenu kawaona kabisa ni vichwa maji halafu eti mmsubiri aje ndio muulize kuhusu hiyo ofa ya mchezaji na wakati tayari ameshatinga uzi wa HOROYA, Acha niweke nukta hapo.
Mikia bwana! Hela za Okwi zililiwa mbona hatujasikia ukitoa japo maoni kulaani, leo ulalamikie mauzo ya Makambo!Yaani kocha anakuwa wakala wa mchezaji how comes? Kweli Bongo soka hakuna ladha kabisa Kocha anakuwa anawachezaji wake kwenye timu na Yanga mkakubali tu, anaaga anaenda Congo kumbe anakwenda kupiga dili na watu wanaachwa wamesinzia tu, tangu lini mchezaji anauzwa na timu iliyokopeshwa mchezaji yaani mmekopeshwa mchezaji halafu nyinyi mumuuze tena hiyo inakuja kweli?. Zahera anacheza na akili zenu kawaona kabisa ni vichwa maji halafu eti mmsubiri aje ndio muulize kuhusu hiyo ofa ya mchezaji na wakati tayari ameshatinga uzi wa HOROYA, Acha niweke nukta hapo.
Toa majibu yako kwa fact basi haueleweki kabisa, Usimjibu chura sawa na uchura wake usije ukafanana nae.Mbumbu tulieni, Yajayo yanafurahisha.
Tatizo ni kwamba hamjui kujibu maswali mnayoulizwa, hebu niambie kocha anawezaje kuwa wakala wa mchezaji? Nijibu kwanza hilo swali.Mikia bwana! Hela za Okwi zililiwa mbona hatujasikia ukitoa japo maoni kulaani, leo ulalamikie mauzo ya Makambo!
Jibu kwanza lililotokea mwanzo la pesa za mauzo ya Okwi kuwekwa kwenye account binafsi ya kiongozi wa Simba uliona wapi ndipo uhoji ya Makambo.Tatizo ni kwamba hamjui kujibu maswali mnayoulizwa, hebu niambie kocha anawezaje kuwa wakala wa mchezaji? Nijibu kwanza hilo swali.
Ni ishara ya kushindwa kunijibu swali langu toka mwanzo kwahiyo endeleeni kupigwa changa la macho na huyo zahera na mko karibu kukatana mapanga.Jibu kwanza lililotokea mwanzo la pesa za mauzo ya Okwi kuwekwa kwenye account binafsi ya kiongozi wa Simba uliona wapi ndipo uhoji ya Makambo.