Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

Habari mpya ni kwamba leo Mshambuliaji tegemeo wa Yanga Heritier Makambo amejiunga na Horoya ya Guinea kwa mkataba wa miaka mitatu, habari zaidi zitafuata.
Habari na title havina uhusiano. Kuikimbia ni kitu kingine. Kaondoka vizuri kwa baraka za Yanga.
 
Kapishana na bilioni 2 [emoji5]
 
Daah! Ila Mtani kwa kuwa mpira ndio maisha yake wacha aende tu huenda kuna cha zaidi atakipata huko.
Sawasawa Mtani sasa itabidi mtafute mbadala wake maana msimu huu kamisaidia sana, yani ukisikia Yanga wameshinda 1 au 2-1 (maana hivi ndo vijiushindi vyenu 😜😜)basi ujue Makambo kahusika, sasa msipotafuta mbadala wake basi msimu ujao Mnyama Simba atamitimulia vumbi kwa mara nyingine tena. 😀😀😀
 
Mwanzo nilijua utani Kumbe kweli

Namtakia maisha mema
Tutafute mwingine sasa
 
Yaani kocha anakuwa wakala wa mchezaji how comes? Kweli Bongo soka hakuna ladha kabisa Kocha anakuwa anawachezaji wake kwenye timu na Yanga mkakubali tu, anaaga anaenda Congo kumbe anakwenda kupiga dili na watu wanaachwa wamesinzia tu, tangu lini mchezaji anauzwa na timu iliyokopeshwa mchezaji yaani mmekopeshwa mchezaji halafu nyinyi mumuuze tena hiyo inakuja kweli?. Zahera anacheza na akili zenu kawaona kabisa ni vichwa maji halafu eti mmsubiri aje ndio muulize kuhusu hiyo ofa ya mchezaji na wakati tayari ameshatinga uzi wa HOROYA, Acha niweke nukta hapo.
 
I wish you all the best Heritier Ebenezer Makambo,as a Young African fun i will remember your contribution,best of luck brother[emoji26].
 
Yaani kocha anakuwa wakala wa mchezaji how comes? Kweli Bongo soka hakuna ladha kabisa Kocha anakuwa anawachezaji wake kwenye timu na Yanga mkakubali tu, anaaga anaenda Congo kumbe anakwenda kupiga dili na watu wanaachwa wamesinzia tu, tangu lini mchezaji anauzwa na timu iliyokopeshwa mchezaji yaani mmekopeshwa mchezaji halafu nyinyi mumuuze tena hiyo inakuja kweli?. Zahera anacheza na akili zenu kawaona kabisa ni vichwa maji halafu eti mmsubiri aje ndio muulize kuhusu hiyo ofa ya mchezaji na wakati tayari ameshatinga uzi wa HOROYA, Acha niweke nukta hapo.
Mtasema mengi mkuu,but mpira si kama hivi unavyosema.
 
Mbumbu tulieni, Yajayo yanafurahisha.
 
Mikia bwana! Hela za Okwi zililiwa mbona hatujasikia ukitoa japo maoni kulaani, leo ulalamikie mauzo ya Makambo!
 
Tatizo ni kwamba hamjui kujibu maswali mnayoulizwa, hebu niambie kocha anawezaje kuwa wakala wa mchezaji? Nijibu kwanza hilo swali.
Jibu kwanza lililotokea mwanzo la pesa za mauzo ya Okwi kuwekwa kwenye account binafsi ya kiongozi wa Simba uliona wapi ndipo uhoji ya Makambo.
 
Hivi angegoma kucheza au angecheza chini ya kiwango makusudi ili akomoe yanga. Sidhani kama hii timu wangemtaka
 
Jibu kwanza lililotokea mwanzo la pesa za mauzo ya Okwi kuwekwa kwenye account binafsi ya kiongozi wa Simba uliona wapi ndipo uhoji ya Makambo.
Ni ishara ya kushindwa kunijibu swali langu toka mwanzo kwahiyo endeleeni kupigwa changa la macho na huyo zahera na mko karibu kukatana mapanga.
 
Back
Top Bottom