Elias Misinzo Maligo
Senior Member
- Apr 7, 2019
- 140
- 122
Kwa majibu yako tu unahitaji msaada wa kisaikolojia.
Ame contribute Yanga kushika nafasi ya pili nyuma ya Simba na kutolewa nusu fainali ya F.A na Lipuli (Kamwene). Mwakani Yanga ikisafiri sana imeenda Mtwara au Kagera [emoji23]I wish you all the best Heritier Ebenezer Makambo,as a Young African fun i will remember your contribution,best of luck brother[emoji26].
Sawa.Ame contribute Yanga kushika nafasi ya pili nyuma ya Simba na kutolewa nusu fainali ya F.A na Lipuli (Kamwene). Mwakani Yanga ikisafiri sana imeenda Mtwara au Kagera [emoji23]
Awapi, akija akitinga kipensi chake na lile T shirt la polo. Kile alitamkalo Yanga wanalikubali na fuko la usajili wa msimu ujao anakabidhiwa yeye. Yanga itajaa wa kongo kama bendi ya muziki wa dance, ataokoteza wachezaji wa ndondo za lubumbashi na Kinshasa kwa bei ya mafungu. Jamaa mpaka anatoka Yanga atakua don sana.Zahera ukirudi moto utawaka
Acha ushamba!Simba uwalinganishe na horoya?
Horoya wapo juu zaidi ya simba ni sawa na kuwalinganisha Nyuki na nzi.
Ukiangalia zaidi utagundua Zahera anakazi zaidi ya 5 ndani ya Yanga. Kocha, msemaji, mlezi, mhamasishaji, mweka hadhina(changia Yanga), wakala n.kKwa ulaya hili jambo haliwezekani
Lakini kwa afrika bado hakuna
Kwa ulaya hili haliwezekani ila kwa Afrika kocha anaweza kuwa wakala bila shida yoyote.
Hii comment yako imekaa kiudaku. Rudi mada kuuKumbe Msolla ameingizwa mjini na Zahera, walikubaliana akafanye vipimo vya tu, halafu wajadiliane bei, lakini Zahera amemuuza mwenyewe na Horoya watajua jinsi ya kupambana, itakuja issue ya mshahara na hela ya usajili.
Kwani timu ngapi zinashiriki mashindano ya klbu bingwa Afrika kutoka Tanzania mwakani?Ame contribute Yanga kushika nafasi ya pili nyuma ya Simba na kutolewa nusu fainali ya F.A na Lipuli (Kamwene). Mwakani Yanga ikisafiri sana imeenda Mtwara au Kagera [emoji23]
Bado Mtani. Endelea kuchanga tu. ππKibubu si kimejaa lakini?
Tuko njiani mtani kutafuta mbadala.Sawasawa Mtani sasa itabidi mtafute mbadala wake maana msimu huu kamisaidia sana, yani ukisikia Yanga wameshinda 1 au 2-1 (maana hivi ndo vijiushindi vyenu ππ)basi ujue Makambo kahusika, sasa msipotafuta mbadala wake basi msimu ujao Mnyama Simba atamitimulia vumbi kwa mara nyingine tena. πππ
2019/2020 Klabu bingwa Afrika moja ambayo itakuwa Simba, Confederation Cup 1 ambayo itakuwa Azam au Lipuli. 2020/2021 Tanzania itaongezewa nafasi 1 kila shindanoKwani timu ngapi zinashiriki mashindano ya klbu bingwa Afrika kutoka Tanzania mwakani?
Hamna anayetukanwa bana Mtani. Hayo huwa ni maneno ya Mitandaoni tu hayo na si uhalisia.Kabisa.. huwa nashangaa eti wakidai malipo yao mnawatukana.
Acha ushamba!
Mkuu kumbe?? DahNachojua Makambo hapo Yanga alikua km mpita njia tu , yaani alikua anajitangaza ,Yanga wanamlipa mshahara tu, hakusajiriwa kwa hela , toka ametoka lupopo alikua huru ,mkataba wake unamruhusu kuondoka muda wowote
Km Yanga watapata hela basi ni kiasi kdg tu
Na Njaa United Vs Hororya, ipi iko juu?Huo ndio ukweli ifuatilie vizuti hiyo team kwenye soccer la Africa utaona.
Na Njaa United Vs Hororya, ipi iko juu?
Njaa United = Bakuli FC = Yanga = πΈπΈπΈKama njaa umemanisha yanga
Horoya iko juu Mara Mia dhidi ya yanga, kwa Tanzania ni sawa uilinganishe simba na African Lyon
Njaa United = Bakuli FC = Yanga = πΈπΈπΈ
Sawa mtani.. Kakolanya alisemwa sanaHamna anayetukanwa bana Mtani. Hayo huwa ni maneno ya Mitandaoni tu hayo na si uhalisia.
Nyie mnamuabudu Zahera anawapa nini?.. Enzi za MANJI kumbe alikuwa mungu wenu?..Mikia mna matatizo, klabu nzima mnamwabudu MO, alivyotekwa wote mliharisha,leo mnarukia habari za Makambo.