Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

I wish you all the best Heritier Ebenezer Makambo,as a Young African fun i will remember your contribution,best of luck brother[emoji26].
Ame contribute Yanga kushika nafasi ya pili nyuma ya Simba na kutolewa nusu fainali ya F.A na Lipuli (Kamwene). Mwakani Yanga ikisafiri sana imeenda Mtwara au Kagera [emoji23]
 
Ame contribute Yanga kushika nafasi ya pili nyuma ya Simba na kutolewa nusu fainali ya F.A na Lipuli (Kamwene). Mwakani Yanga ikisafiri sana imeenda Mtwara au Kagera [emoji23]
Sawa.
 
Zahera ukirudi moto utawaka
Awapi, akija akitinga kipensi chake na lile T shirt la polo. Kile alitamkalo Yanga wanalikubali na fuko la usajili wa msimu ujao anakabidhiwa yeye. Yanga itajaa wa kongo kama bendi ya muziki wa dance, ataokoteza wachezaji wa ndondo za lubumbashi na Kinshasa kwa bei ya mafungu. Jamaa mpaka anatoka Yanga atakua don sana.
 
Kwa ulaya hili jambo haliwezekani
Lakini kwa afrika bado hakuna

Kwa ulaya hili haliwezekani ila kwa Afrika kocha anaweza kuwa wakala bila shida yoyote.
Ukiangalia zaidi utagundua Zahera anakazi zaidi ya 5 ndani ya Yanga. Kocha, msemaji, mlezi, mhamasishaji, mweka hadhina(changia Yanga), wakala n.k
 
Kumbe Msolla ameingizwa mjini na Zahera, walikubaliana akafanye vipimo vya tu, halafu wajadiliane bei, lakini Zahera amemuuza mwenyewe na Horoya watajua jinsi ya kupambana, itakuja issue ya mshahara na hela ya usajili.
Hii comment yako imekaa kiudaku. Rudi mada kuu
 
Ame contribute Yanga kushika nafasi ya pili nyuma ya Simba na kutolewa nusu fainali ya F.A na Lipuli (Kamwene). Mwakani Yanga ikisafiri sana imeenda Mtwara au Kagera [emoji23]
Kwani timu ngapi zinashiriki mashindano ya klbu bingwa Afrika kutoka Tanzania mwakani?
 
Sawasawa Mtani sasa itabidi mtafute mbadala wake maana msimu huu kamisaidia sana, yani ukisikia Yanga wameshinda 1 au 2-1 (maana hivi ndo vijiushindi vyenu 😜😜)basi ujue Makambo kahusika, sasa msipotafuta mbadala wake basi msimu ujao Mnyama Simba atamitimulia vumbi kwa mara nyingine tena. 😀😀😀
Tuko njiani mtani kutafuta mbadala.

Japo naona mikanganyiko kwani kuna Audio nimeisikia ya Mwenyekiti anasema bado Makambo ana mkataba wa mwaka mmoja.

Au sijui ndio nilikuwa na wenge. 😀😀😀
 
Kwani timu ngapi zinashiriki mashindano ya klbu bingwa Afrika kutoka Tanzania mwakani?
2019/2020 Klabu bingwa Afrika moja ambayo itakuwa Simba, Confederation Cup 1 ambayo itakuwa Azam au Lipuli. 2020/2021 Tanzania itaongezewa nafasi 1 kila shindano
 
Nachojua Makambo hapo Yanga alikua km mpita njia tu , yaani alikua anajitangaza ,Yanga wanamlipa mshahara tu, hakusajiriwa kwa hela , toka ametoka lupopo alikua huru ,mkataba wake unamruhusu kuondoka muda wowote

Km Yanga watapata hela basi ni kiasi kdg tu
Mkuu kumbe?? Dah
 
Back
Top Bottom