Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

Ame contribute Yanga kushika nafasi ya pili nyuma ya Simba na kutolewa nusu fainali ya F.A na Lipuli (Kamwene). Mwakani Yanga ikisafiri sana imeenda Mtwara au Kagera [emoji23]
Biashara isiposhuka na kule MUSOMA ndio trip zao
 
Tuko njiani mtani kutafuta mbadala. Japo naona mikanganyiko kwani kuna Audio nimeisikia ya Mwenyekiti anasema bado Makambo ana mkataba wa mwaka mmoja.
Au sijui ndio nilikuwa na wenge.
Zahera atawaletea mkali zaidi ya Makambo, wala msijali anawajua vzr wachezaji.. ngoja apewe 1.5B ya usajili.
 
Nyie mnamuabudu Zahera anawapa nini?.. Enzi za MANJI kumbe alikuwa mungu wenu?..
Manji alikuwa mwenyekiti .. .figisu za choko Bashite zimekupeni unafuu.. Mngekaa eda miaka kumi
 
Manji alikuwa mwenyekiti .. .figisu za choko Bashite zimekupeni unafuu.. Mngekaa eda miaka kumi
Mbona anawadai huyo mwenyekiti wenu?... Bashite amekataa msiwe na mwenyekiti au Manji ndie alikuwa anacheza?
 
Zahera hana makuu na mtu! atawamegea kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ