Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

Ame contribute Yanga kushika nafasi ya pili nyuma ya Simba na kutolewa nusu fainali ya F.A na Lipuli (Kamwene). Mwakani Yanga ikisafiri sana imeenda Mtwara au Kagera [emoji23]
Biashara isiposhuka na kule MUSOMA ndio trip zao
 
Tuko njiani mtani kutafuta mbadala. Japo naona mikanganyiko kwani kuna Audio nimeisikia ya Mwenyekiti anasema bado Makambo ana mkataba wa mwaka mmoja.
Au sijui ndio nilikuwa na wenge.
Zahera atawaletea mkali zaidi ya Makambo, wala msijali anawajua vzr wachezaji.. ngoja apewe 1.5B ya usajili.
 
Nyie mnamuabudu Zahera anawapa nini?.. Enzi za MANJI kumbe alikuwa mungu wenu?..
Manji alikuwa mwenyekiti .. .figisu za choko Bashite zimekupeni unafuu.. Mngekaa eda miaka kumi
 
Manji alikuwa mwenyekiti .. .figisu za choko Bashite zimekupeni unafuu.. Mngekaa eda miaka kumi
Mbona anawadai huyo mwenyekiti wenu?... Bashite amekataa msiwe na mwenyekiti au Manji ndie alikuwa anacheza?
 
Mikia mna matatizo, klabu nzima mnamwabudu MO, alivyotekwa wote mliharisha,leo mnarukia habari za Makambo.
Nakuona chura Ulivokuwa unajikosha kwa muuza unga
IMG_20190518_111104_749.jpeg
 
Nachojua Makambo hapo Yanga alikua km mpita njia tu , yaani alikua anajitangaza ,Yanga wanamlipa mshahara tu, hakusajiriwa kwa hela , toka ametoka lupopo alikua huru ,mkataba wake unamruhusu kuondoka muda wowote

Km Yanga watapata hela basi ni kiasi kdg tu
Zahera hana makuu na mtu! atawamegea kidogo
 
Back
Top Bottom